December 4 , 2018
Victoria Seychelles
CAF Confederation Cup 2018 :
Northern Dynamo vs Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar walivyowasili mjini Victoria ktk visiwa vya Seychelles bahari ya hindi.
Baada...
Michezo ni upendo na uleta undugu na hivyo kuweka hali ya amani popote pale duniani.Mwakyembe kwa kushirikiana na TFF wacheni kabisa kupandikiza migogoro ndani ya Yanga waacheni wafanye uchaguzi...
Kitendo Cha Manchester United kuendelea kufanya vibaya kumemfanya kocha Jose Mourinho kumuangushia jumba bovu mchezaji wake Paul Pogba. Mara baada ya kutoka sare weekend iliopita. Kocha Mourinho...
Nimesikitishwa kusoma katika magazeti ya leo eti TFF imepata hasara ya Tsh 500 milioni mwaka 2014, lakini kilichosababisha hasara hiyo ndo kimenifanya niruke mita 1000 kimanga kwa mshangao
Sababu...
Dah inauma sana ukiona mpaka Mtu mzima analia hivi ujue inatia hasara.Tff na waamuzi badilikeni ase
1.uwanja una madimbwi na matope
2.kisha Refa anakuja kuchezesha hovyo
Moja kwa moja niende kwenye mada,leo ilikuwa London derby kati ya Arsenal na Spurs uwanja wa Emirates, arsenal walikuwa wa kwanza kabisa kupata goli dakika kumi mwanzo kwa tuta ila spurs wakaja na...
Sintofahamu yaendelea kuikumba Yanga FC, Kakolanya na Yondani hawatacheza kwenye mechi ya leo saa kumi dhidi ya Tanzania Prisons
Yanga yenye alama 35 ikiwa na michezo 13 inaendelea kuwa kinara wa...
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam...
Taarifa kutoka katika klabu hiyo zinaeleza kuwa Habibu Kyombo alifanyiwa vipimo hivyo jana majira ya saa 7:00 mchana katika makao makuu ya klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini na sasa...
Tanzania imeanza vizuri katika mashindano ya wabunge yanayoendelea Bujumbura nchini Burundi baada ya kung`ara katika mchezo wa Volleyball.
Kwenye mchezo wa Volleyball, wabunge wa Tanzania...
Nionavyo binafsi,
Mpenda soka yoyote yule ni lazima awe mwanachama au mpenzi wa timu fulani huku pakiwepo na upande pinzani.
ikumbukwe hakuna fomula moja katika kuchagua au kupenda timu...
Tumecheza mechi 3 kwa siku nane tena tunasafiri mkoa kwa mkoa wachezaji wanachoka ila kwa perfomance ya leo nimefurahi sana.
Jambo lingine lililonifurahisha wachezaji wangu wanacheza mechi bila...