Wale wakali wa betting nakupeni namna ya kupunguza hasara pale unapolose ticket unapata 10% ya ulicho loose njia ni rahisi nakusajili unadeposit pesa ikitokea umeloose hupotezi pesa yote unabaki...
karibuni tuungane wote kufuatilia kampeni ya kuichangia Team yetu ya Taifa stars kwenda lesotho kushiriki michezo ya Afcon
kampeni inaendeshwa na mhe.waziri wa michezo kaka yetu Dr.Harisson...
Waliochukua fomu ya kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Klabu kongwe nchini Yanga itakayofanya Uchaguzi wake tarehe 13 January, 2019:-
Nafasi ya Mwenyekiti:-
1. Tarimba Abbas Tarimba.
2. Iman...
Ni katika uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni kujaza nafasi zilizo wazi. Mdee atachuana na wakali wengine kama Aron Nyanda, Ally Mayai, Bin Kleb nk.
Katika nafasi ya Mwenyekiti Manji amekubali...
Ndugu zangu,kesho tarehe 10 saa 4 kamili usiku kwa saa za afrika mashariki kuna mechi kali balaa baina ya BOCA JUNIORS AND RIVER PLATE..COPA LIBERTADORES#SUPER FINAL#SUPER CLASICO...timu zote hizo...
Katika soka la Tanzania vimepita vizazi mbalimbali Kama kina lodgar Tenga, Sunday Manara, King kibaden, Mwamedi Mwameja, Edbily Lunyamila na hivi karibuni Juma Kaseja.
Lakini kwangu Mimi japo...
Kuna baadhi wanadai kuwa mpira hakuna uchawi wakasema na kwa namna Mji wa Sumbawanga ulivyotamalaki katika uchawi basi wangekuwa na Klabu ya Ligi Kuu. Na Nigeria wangechukua Kombe Kombe la dunia...
Nimefanikiwa kutizama mechi kadhaa za Yanga Africa hasa hizi zilizochezwa uwanja ww taifa saa moja jioni nachelea kusema kwamba huyu jamaa hamna kitu pale, hamna striker mwenye hadhi ya kuwa...
Wakuu, nimekuwa najiuliza kuwa hapa kwetu pana msemaji wa klabu ya mpira mwanamke?
Pana mtu mmoja huwa namsikia kwenye vipindi vya michezo sio mara kwa mara sauti ni kama ya mwanamama hivi ila...
Katika dimba la Luzhniki, pale jijini Moscow, miaka 10 iliyopita ilipigwa fainali ya aina yake.
Fainali ya Uefa Champions League, ambapo ilikutanisha timu mbili kutoka Uingereza. Man Utd Vs...
Kila inapofika mwezi Novemba ya kila mwaka, nchini Uingereza kuna maadhimisho ya kuwakumbuka wale wote (mashujaa) waliojitolea maisha yao kwaajili ya Nchi yao katika vita mbalimbali kuanzia vita...
Tarehe 27 November 2018
Simba SC vs Mbambane Swallows ( TANZANIA )
Tarehe 4 December 2018
Mbambane Swallows vs Simba SC ( SWAZILAND )
Kama Simba SC itafuzu itacheza na Klabu kutoka ama Zambia...
Didier Drogba, bye bye.!
Maisha ya Soka ya Didier Drogba Yamefikia Kikomo Jana Kwa Kichapo Baada Ya Klabu Yake Ya Phoenix Rising kufungwa 1-0 Dhidi Ya Louisville City kwenye Fainali Ya kombe La...
PARIS, UFARANSA. MAJUZI imebainika
staa mpya wa PSG, Kylian Mbappe alitaka
viingizwe vipengele vya ajabu katika
mkataba wake wa sasa wakati alipokuwa
anahamia klabu hiyo akitokea Monaco ya...
Baada ya MAN U kumfunga Juventus hapo jana ni rasmi sasa CHELSEA ndiyo timu pekee katika Ligi 5 bora Ulaya ambayo haijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu wa 2018/2019 katika mashindano yote
Nitangulize pongezi kwa viongozi, benchi la ufundi, wanachama, wachezaji na mashabiki wa Simba SC kwa uvumilivu na mshikamano wao kwenye shida na raha.
Kuelekea fainali ya kombe la Mapinduzi...