-Bodi ha Ligi ya Tanzania Bara imeahirisha mechi tatu zinazohusu vilabu vya Simba, Yanga na Azam ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo inatarajia kuingia kambini...
Ligi Kuu Tanzania bara TPL, kuendelea kutimua vumbi kwa wakati huu wa saa 19.00 usiku, ambapo KMC kutoka wilaya ya Kinondoni, Dar kuwakaribisha Yanga SC katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...
Ushindi wa jana wa simba wa magoli 5 dhidi ya Alliance umegubikwa na utata..Alliance waliingia uwanjani bila ya kocha wao mbwana makata ambaye alijiondoa kwenye benchi la ufundi mara baada ya...
MCHEZAJI ROBIN VAN PERSIE ATANGAZA KUSTAAFU KUCHEZA SOKA MWISHO WA MSIMU 2018/19
Mshambuliaji huyo wenye miaka 35 kwa sasa anaichezea klabu ya Feyenoord ya Uholanzi alipoanzia kucheza soka la...
Bondia Hassan Mwakinyo amesaini mkataba wa miaka mitatu na kampuni kubwa zaidi ya kubashiri nchini ya SportPesa.SportPesa imesaini mkataba huo na kuutangaza leo ingawa ni kiasi gani imefanywa kuwa...
Mara ya mwisho simba kuchukua ubingwa ilikuwa mwaka 2012,baada ya miaka minne kupita simba imefanikiwa kutwaa tena ubingwa au kombe ambalo dar-es-salaam young afrika walilichukua mpaka Tff...
Kama wewe n mfatiliaji mzuri wa mpira wa miguu utakubaliana na mimi kwamba timu tajwa hapo juu ndio znaongoza kwa mashabik hapa tanzania....tupeane mawazo ilikuaje wao tu na hakuna upinzan...
Petr Kellner
Taarifa mbalimbali kwenye duru za michezo zinaeleza kwamba mabilionea wawil Roman Abramovich na blionea wa kutoka jamhuri ya Czech aitwae Petr Kellner wanataka uuziana timu ya...
Kwa vile hakuna sababu yoyote ya kitaalam wala ya kisoka itayomridhisha Mtanzania yeyote mpenda soka hata kama ni kipofu au kiziwi , basi bila shaka zipo sababu zingine zilizosababisha Kamati ya...
Baada ya mapumziko ya siku 2, hatimae TPL inaendelea leo (24/10/2018) tena. Bingwa Mtetezi, Simba SC anawakaribisha 'Watoto wa Sekondari' Alliance FC katika dimba la Taifa Stadium. Mechi hii...
Orodha ya timu bora za soka kwa wanaume iliyotolewa na FIFA leo oktoba 25, Taifa Stars imeshika nafasi ya 136 ikiwa imepanda kutoka nafasi ya 140 kwa mwezi uliopita
Uganda iliyo nafasi ya 79...
Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana au ilikuwa hamna kabisa mchezaji ligi kuu Uingereza aliokuwa na uwezo wa kuwasiliana kwa lugha adhimu ya kiswahili, miaka imeenda na mambo yamebadilika...
Toka Ligi Kuu ya Tanzania Bara imeanza msimu wa 2018/2019 kwa kujumuisha timu 20 kwa lengo la kuboresha Ligi lakini na kuongeza wigo wa timu nyingi kushiriki kumekuwa na tatizo kwenye kamati...
Naipenda sana Arsenal toka kipindi kile cha akina Tom Adam na David Seaman........lakini huo ujumbe begani mwa Ozil mmmh ndo naona Wizara yetu ya Mali ya Asili na Utalii wanatakiwa kuufanyia kazi.
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.
Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake...
Kati ya Jonas Gerrad Mkude na Athumani chuji wa kwenye ubora wake nani fundi sana ukizingatia wote wanacheza nafasi moja.
Manara anasema Mkude habari nyingine je wewe una maoni gani
Baada ya kilimanjaro stars kuvurunda sana Michuano ya Cecafa wakubwa kocha wa timu Hiyo Ninje akipenda kutumia neno Untill next time ameibuka na kusema watanzania wampe nafasi kwani amekuja na...
Usiku wa kuamkia leo klabu ya Esperance de Tunis ya nchini Tunisia iliishindilia mabao 4-2 klabu ya De Agosto ya nchini Angola katika nusu fainali ya pili ya michuano ya CAF na hivyo klabu ya...
Wewe ndio kocha, na timu yako ina magolikipa hawa wafuatao, ungemachagua nani kuanza golini kwako kutokana na fomu yake ya sasa?
1.Ter Stegen
2.Cortous
3.De Gea
4.Alisson
5.Oblak