Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ndugu zangu!Natumai mpo wazima wa afya.. Ni striker/namba 9 yupi kwako alikuwa bora? DIEGO MILLITO/INTERNAZIONAL IBRAHIMOVIC/BARCELONA HERNAN CRESPO/CHELSEA DE LIMA/REAL MADRID Kwangu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mzuqa Nililetaga uzi wa huyu jamaa miaka miwili iliyopita kwenye ID yangu pendwa ya Copenhagen mods wakaipotezea faster. Ngoja niirudie. Ni hivi summer 2016 jumamos flani nakumbuka ilikuwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kikosi cha Timu ya Wananchi na Mabingwa wa Kihistoria kitakachoanza leo dhidi ya Watoto wa Shule Alliance FC a.k.a Alliance Schools. FULL TIME| Yanga 3 - 0 Alliance FC 17’ Mins Makambo (...
4 Reactions
147 Replies
19K Views
AMMY NINJE ATHIBITISHWA KUWA MKURUGENZI WA UFUNDI TFF. KAMATI NDOGO ZAFANYIWA MABADILIKO Kamati ya Utendaji iliyokutana Jumamosi Oktoba 20, 2018 Makao Makuu ya TFF, Ilala jijini Dar ilipitia...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa aliyebahatika kutazama game ya barca na Spurs atakuwa shahidi, Sijui ni vipi fifa wanapanga vigezo kumpata mchezaji bora Nimemuangalia Luka Modric Ktk game mbili ambazo zote Real Madrid...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Kama DStv vile, napenda kuupa hongera uongozi wa CMG kwa uamuzi wao wa kumshirikisha mchezaji mstaafu Amri Kiemba katika kipindi cha michezo cha siku ya Jumapili mchana kuanzia saa saba mchana...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
**Mwanzilishi wa mpira wa miguu (Modern Football) unaochezwa leo duniani ni nani? Ebenezer Cobb Morley alizaliwa tarehe 16 Agosti 1831 na alifariki dunia tarehe 20 Novemba 1924. Anajulikana kama...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Tanzania Premier League (TPL) inaendelea tena leo ambapo kutakua na mtanange wa kukata na shoka katika dimba la Taifa. Katika mechi hii Bingwa Mtetezi Simba SC anawakaribisha Stand United. Simba...
7 Reactions
279 Replies
17K Views
Arsenal 2-0 leicester city Wazee wa mkeka upepo huoooo
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Timu ya Simba sc imepania kuiadabisha Stand United kwa kinachoelezwa ni FURAHA iliyotokana kupatikana kwa boss wa timu hiyo Mo hivyo watalazimika kumpoza na kumfariji kwa ushindi mnonoooo. Wakati...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi apata majeruhi ya mkono katika mchezo wa jana wa Barcelona dhidi ya Sevilla Katika mchezo huo Messi alisaidia upatikanaji wa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
1. Dr Ricky 2. Edo kumwembe 3. Maestro 4. Haji manara 5. Shafii dauda We list yako ya 5 bora ya wachambuzi wa soka nchini ni ipi?
2 Reactions
79 Replies
18K Views
Habari wana soka kindaki ndaki wa jf Niende kwenye maada maoja kwa moja.Tangu nianze kuona ligi kuu Tanzania bara na kuhudhuria mechi nyingi za ligi hii ghafla nilijikuta najiuliza maswali mengi...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Bet, nani atashinda ama droo!!!Update zote kuwekwa hapa mechi ni tar 23 oct 2018 nimekosea tittle
0 Reactions
5 Replies
788 Views
  • Poll Poll
Basketball is relevant again. The NBA Board of Governors have bestowed upon us some new rules that should make the 2017-2018 season's product even more competitive. The 2017–18 NBA season will be...
3 Reactions
1K Replies
89K Views
Yale matatizo sugu ya Man Utd kesho jumamosi yatarudi upya wakati Chelsea itakapoialika Man Utd katika uwanja wake wa Stamford Bridge. Ikumbukwe kocha Jose Mourinho wa Man Utd amekalia kuti kavu...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
MOROGORO MARATHON, December 2 Usajili utaanza October 15 MOROGORO Samak Spot, Tengoz Restaurant, SUA, mzumbe, Muslim varsity, Jordan, chipukiz ccm wilaya, Msamvu bus terminal, Mikumi mjini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau mnaofanya betting kwenye premier betting nini maana ya handicap 4, 5 na 6
1 Reactions
7 Replies
30K Views
Habari wanaJF. Kwa wale wa FIXED MATCHES nimewaletea njia tatu rahisi zinazoweza kutumiwa kwenye Android kugushi MESSAGE na MIKEKA. 1. FAKE TEXT MESSAGE Hapa matapeli wengi hutumia hii app kutuma...
2 Reactions
4 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…