Kwanza tunamshukuru Mungu kwa neema zake ktk kukubali sala na dua zetu.
Wenzangu wale watani naona leo mtakuwa mmeamka na hasira sana kwa hizi 'habari mbaya'.
Narudia, watani zangu wa jadi.
Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba ya Dar es salaam, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kama Kocha Mkuu wa timu ya A.S Kigali ya Rwanda inayoshiriki Ligi kuu ya nchi hiyo.
Jumapili hii ijayo Ligi inaendelea wakati Mwanachama na Mdhamini wa SIMBA SPORTS CLUB, Mpendwa wetu MOO akiwa bado hajapatikana. Chezeni Jihadi USHINDI ndio faraja pekeee kwa wanasimba wote kwa...
Nilikuwa bado shule ya msingi Kule kijijini hakukuwa na TV. Tulisafiri km 50 na dingi kwa baiskeli kwenda kumwangalia David Beckham. Ilikuwa ni 1999 fainali kubwa Man Utd na Bayen Munich...
A Ugandan Teenage Girl has Won the Women's World Chess Title
A Ugandan teenage girl has won the Women's FIDE master World Chess Tournament. 17-year-old Ugandan Gloria Nansubuga attained the...

1. Kipindi wenzetu wakimlipa Kocha wao Mkuu, Mwinyi Zahera Tsh. 6.8 milioni... Sisi tunamlipa Kocha wetu Mkuu, Patrick Ausssems dola 10,000 (Tsh. 22.7 milioni - mara 3 ya kocha wa wenzetu).
2...
Rais Dkt. John Magufuli leo Oktoba 19, 2018 atakutana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu jijini Dar es salaam.
Tuwe pamoja kwa...
Mwaka 2007 niliandika mara mbili katika barua za wasomaji katika gazeti lililokuwa likiitwa Spoti Starehe, gazeti dada la Majira. Sijui liko wapi gazeti lile siku hizi. Huenda ushindani wa...
Baada ya ligi kuu Tanzania Bara (TPL) kusimama kwa muda ili kupisha mechi za kimataifa, hatimae inarejea leo kwa mechi kadhaa kuchezwa.
Lakini kabla haijaendekea, hebu tujikumbushe yaliyojiri...
Wakuu,
Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee.
Hata ingekuwa Brazil au nchi yoyote iliyopiga hatua kimpira kuna wachezaji...