Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

kama mpira wa miguu basi mimi nacheza
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Niweke wazi kuwa, mimi ni Shabiki kindaki ndaki wa Man United. Haya ninayoyasema, ni ukweli mtupu na nikutokana na kuwa, mizani imeelemea upande wa man Utd. Man utd kufanya come back...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Au ni dharau zake ?we ngoja siku tarehe 20 sept litimu lake likitua darajani ndo atamtambuaa
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tulimuondoa Muhidini Ndolanga na Rage kwenye mpira kwakuwa mambo ya mpira yalikuwa hayaendi vizuri nchini. Tulidhani sababu ni kwasababu akina Ndolanga na wenzake hawatoki kwenye familia ya mpira...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naamini wengi mnayafatilia ila nataka tufahamishane mmeyaonaje haswa jinsi timu za taifa zilivyoimarika mfano Uholanzi na zingine zinavyopitia kipindi kigumu mfano Ujerumani karibuni wadau wa soka...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kocha amulike nadhani amepata somo kuhusu uwezo wa wachezaji,unawaachaje hawa boko,yondan,Feisal, katika game plan ya match kubwa?
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kama kuna historia yoyote kati ya Simba Sc na uhuni/umafia maana viongozi wake wengi kutwa wako mahakamani kwa makosa ya jinai. Tunayo mifano mingi kuanzia Rais Eveva, Makamo wake...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Waswahili wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji ,na kwa hakika hawakukosea kabisaaa. Hawa watani zetu wa jadi Simba SC walitucheka sana kipindi kile Manji alivyopata matatizo ambapo...
4 Reactions
51 Replies
8K Views
assalam wakuu kama kichwa kinavyojieleza nataka niwe refarii kwa kiwango cha kimataifa(FIFA). JE KWA HAPA Maguland kozi hii inapatikana wapi? nina hobby sana na hii fani. nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili ni swali kwa TFF. Je TFF wana kitengo na bajeti ya uhamasishaji wa ushindi kwa timu yetu ya Taifa au hata timu zinazowakilisha Taifa? Hivi hawa TFF wanategemea washabiki wa Taifa Stars ni...
4 Reactions
8 Replies
945 Views
-Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya klabu ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ameachiwa kwa dhamana ya Sh. Milioni 15 baada ya kusomewa mashitaka mawili katika Mahakama ya Kisutu mjini Dar es Salaam...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa. Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha...
10 Reactions
266 Replies
18K Views
MWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182 Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67 Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE na TANZANIA...
10 Reactions
187 Replies
14K Views
Kijana mtata Raia wa Urusi ambaye wiki iliyopita alijizolea umaarufu baada ya kumpa kipigo kikali Mu_Irish Thenotorius_Conor Mcgregor katika pambano la UFC 229, pambano ambalo lilivutia wengi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Amunike Amuongeza Kwenye Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Beki Kilaka Wa Simba Sc Erasto Nyoni. Nini maoni yako?
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Kipindi ile breki ya kupisha mechi za kimataifa ikiianza leo, wachezaji watano wa kimataifa toka Simba SC wanatarajia kulitetemesha Bara la Africa, pale watakapokua katika viwanja mbali mbali...
5 Reactions
88 Replies
10K Views
Nani anamkumbuka mchezaji huyu?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…