Bondia Mtanzania Jonas Segu, maarufu 'Black Mamba' amefanikiwa kumshinda Bondia David Rajuili kutoka Afrika ya Kusini katika pambano la ubingwa wa WBF Africa Lightweight Champion lililochezwa siku...
Wana Simba SC ' Kazi Imekwisha ' na popote pale ulipo anza Kusheherekea kwani tunashinda Goli 2 kwa 0. Nitoe pia ONYO mapema kwa wana Yanga SC kama unajijua kabisa una matatizo ya Moyo / Presha na...
Nimeikuta hii mahala fulani, nikamkumbuka mzee mmoja kule Masasi, Mtwara. Huyo mzee Yanga ikicheza na Simba huondoka kijijini kwao na kushinda shamba mpaka usiku ndipo anarudi kijijini, na kesho...
Wakuu taarifa zinanifikia sasa hivi kwenye simu yangu ya mkononi kuwa tokea saa 5 asubuhi ya leo afya ya mshambuliaji Medy Kagere imezol(r)ota na ni wazi kabisa mechi ya leo hata hasitokee...
Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kuwa wachezaji wa man united hawamtak jose mou.mimi ngemshauri mambo mawili.
1. Akae nao chini waongee wayamalize asiwe na kiburi maana kama wameamua ku Unite against...
Awali ya yote nianze kwa kuwasalimu wanajamvi... Mara baada ya salamu niende moja kwa moja ktk mada lengwa..
Leo kutapigwa mechi moja ya nguvu sana kati ya watani wa jadi.. hivyo basi ninaweka...
Wadau habari za muda huu,
Kama heading inavyojipambanua,leo kipindi cha kwanza na game nzima kwa ujumla itaisha kwa simanzi,majuto,fedheha,aibu,ghazabu na harubu,dhiki na mateso kwa simba jike...
Baada ya Wiki mbili zijazo Man Utd atakuwa nje ya top4 hili halina ubishi kwa kutizama ratiba yao tu huitaji uwe na PhD uelewe nini kitajiri.
Jumamosi ijayo saa 8:30 kwa majira ya Afrika ya...
Wengi najua mmeona clip ya leo mazoezini kilichotokea kati ya pogba na mr Joseeee, ilionekana pogba akiwa kwenye good mood kaingia kwa mbwembweee kampa hi 5 michael carrick na staffs wengien...
Ni FlashBackSaturday kuelekea kwa pambano la DSM Derby siku ya Jumapili, Unajua kwanini Klabu ya Yanga wanaitwa Gongowazi na Ndala?
Majina haya kiasili yalianza kuvuma sana mwishoni mwa miaka ya...
Kuelekea mchezo wa mpira wa miguu maarufu sana Afrika Mashariki na Kati wa watani wa Jadi baina ya Simba SC na Yanga SC..
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeamua kuwapeleka wachezaji wake kwa Mganga...
Kocha, wachezaji na viongozi wa Yanga watakuwa salama hata kama Yanga itafungwa, lakini sio simba. Na hiyo ndiyo itakayosababisha Simba kufungwa na Yanga mfululizo msimu huu.
Jose Mourinho has to go.
He had to go two months ago, when he was already moaning in Michigan; when the writing was on the wall. He had to go last month, after losses to Brighton and Tottenham. He...
KAMA MLIKUWA AMJUI KILIVHOMKIMBIZA MOJA YA TIMU KUBWA BWANA YULE N MCHEZAJI KAMARI MAARUFU SANAA
NA ANAPOSHTUKIWA HUWA RADHI KUSHIRIKI DHAMBI HIOO NA WAKUBWA WA TIMU
NAWASHAURI TU MAN U FUNS...
Unapenda au unajua kucheza Draft? Siku hizi vujiwe vya kucheza vimepungua sana, kwanini...?
Kumbe wazee vijana na watu wote wanashinda kwenye simu zao.
Sasa unaweza kucheza kwenye simu yako...
Kifurushi cha kuanzia 69000 ndo nafuu kwa michezo...ndg zangu kuna njia rahisi ya kuangalia mpira kwa bei nafuu zaidi bila ya kutumia DStv
-startimes unaangalia..ligi ya france,jerumani, ueropa...