Dakika ya 70 timu yake ikiwa nyuma kwa goli 3-0 dhidi ya Sevilla Tumeshuhudia Luka akitolewa sub akiwa hajaumia Bali kiwango chake tu kwa leo.
Tangu atangazwe na Fifa kuwa yeye ndiye bora hata...
Manuel Enrique Mejuto Gonzalez alizaliwa tarehe 16 aprili 1965 huko la Felguera Langreo,Hispania......Huyu ndiye mwanaume aliyechezesha mchezo wa finali ya klabu bingwa ulaya mwaka 2005 kàti ya...
Kutoka JF siku ya jana ambapo memba mmoja alilalamikia tabia ya mbunge Zitto Kabwe kutumia mamilioni ya shilingi kwenda Uingereza kuishabikia timu yake ya Liverpool pamoja na mambo mengine kutumia...
Kama Wewe ni mwana Simba SC halafu una wasiwasi / hofu na ' Mtanange ' wa Jumapili tarehe 30, Septemba 2018 kwamba ' tutafungwa ' unakosea na Mimi GENTAMYCINE kupitia ' Uzi ' huu nakuhakikishia...
Tuwe wakweli wanamichezo,hivi kweli mchezaji mzoefu, captain wa timu unafanya tukio kama lile mbele ya kamera zote kama zile ulitegemea nini?eti Keisha unazuga kulalama kwa refa kama si ubaridi wa...
Endeleeni kujipa moyo kwa Kigezo cha kushinda mechi zenu Nne ( 4 ) mfululizo za Ligi ila ukweli upo na utabaki pale pale kwamba ' Kiufundi ' kabisa na hapa naweka ' Mahaba ' yangu ya Usimba kando...
Salamu wadau!
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia mchezo Wa mieleka (WWE) nimeona asilimia kubwa ya mavazi na maviatu yao yanafanana na yana maurembo urembo yanayotaka kufanana. Hivi kabla ya kuvaa...
ASahau habari ya Makambo ambaye ndiye mchezaji anayeongelewa kwa wingi sasa hapa Tanzania, Sahau habari ya Tambwe mchezaji tishio kwa wana Msimbazi wote, yupo mchezaji ambaye ndiye roho ya wana...
Mara nyengine soka haieleweki
Na tuzo za soka za mchezaji bora duniani zimedhihirisha hilo.
Ni vigumu kujua utaanzia wapi, lakini tutachanganua kile kilichofanyika katika tuzo hizo zilizotiliwa...
Mshindi wa droo ya sita wa promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa inayoendeshwa na kampuni ya kubashiri Tanzania SportPesa amepatikana leo 26, Septemba 2018.BARAKA KASUKU kutoka Mabatini...
Kuna wakati tuliaminishwa na Waingereza pamoja na Media zao kuwa Wachezaji vijana wanaocheza kwenye nafasi ya Kiungo, Jack Wilshere wa Arsenal na Tom Cleverley wa Man Utd Kipindi hiko kuwa ni...
Mashabiki watazamanaji wa mechi za Yanga viwanjani tuanzishe utamaduni wa kuchangia hapo Kwa papo uwanjani kadri mtu anavyoweza kupata pesa za kununua kila bao linalofungwa na mchezaji na kila...
King'amuzi pekee chenye haki ya kurusha TPL 2018/2019 ni Azam. Wanajitaidi kidogo japo walitakiwa kuongeza maboresho kaza 2a kaza, maana kamera zao hazipo powa sana ki-graphics, point of...
Ifuatayo ni tofauti ya aina ya Maswali ya Waandishi wa Habari za Michezo ya Ligi ya nchini Tanzania ( VPL ) na wale Wenzao wa Ligi Kuu ya nchini Uingereza ( EPL )
Maswali ya Waandishi wa Habari...
Nijeria yaongia nusu fainali ya kombe la dunia kwa wanawake baada ya kuifunga ugiriki kwa vikapu 57 kwa 56..hii ni mara ya kwanza kwa timu ya basketball ya wanawake Afrika kuingia nusu fainali ya...