Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yule mchambuzi bora wa soka toka EFM, Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua, ameuliza hilo swali.. Wadau tumsaidie kumpa majibu. Naanza na mimi.. "Siku hiyo ndo itakua siku ya mwisho Kindoki kucheza...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Unapozungumzia watangazaji bora wa michezo hivi sasa nchini hutaacha hata kidogo kulitaja jina la Shafii Dauda wa clouds fm. Ni mtangazaji makini, ametulia, yuko composed and he knows all there...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kiukweli nakereka sana kwa namna soka la TZ linavyovurugwa na washenzi wachache wanaojitia wanajua soka, uswahili wa masoud na manara ni tatizo kwa soka letu ni watu wapuuzi mnoo hawafai kabisa...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Nimeona ni vema nikalifahamu hili ili na mimi nitoe tongo tongo , hasa baada ya ujio wa huyu kocha mpya wa Simba baada ya kumuondoa aliyeleta ubingwa , huku nikikumbuka Yanga ilivyomuondoa Pluijm...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hakuna kitu kimenikeraa Kama haji manara kuanza kuomba msamaha Mara tatu tatu kwenye mitandao ya kijamii kisa Simba kufungwa Goli mojaa!?? Ni Ujingaa na upuuzi kuwa Mtumwa wa Hisia za mashabiki...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
“ Baada ya Ukame wa muda mrefu wa kutofikishwa Kileleni hatimaye Mbao FC amefikishwa Kileleni vizuri sana na Simba SC “. Kuna Mtu mpaka muda huu nimeshamuacha ameenda ‘ Kutibiwa ‘ Meno yake ya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi haya yote yanawezekanaje.. 1. Kichuya nayemfahamu mimi, ambaye tukiona anaenda kupiga kona, tunaanza kushangilia goli.. Siku hiyo anapata nafasi zaidi ya 7, zote anapaisha kweli? Hapana. 2...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Mfano,TV ya Azam inaonesha penalty ya Mbao imepigwa 26:18. Hiyo inahesabika ni dakika ya 27 (27') Namba unayoiona unaongeza 1 Nyinyi mmeandika 26'. Pia nimeona kwenye magoli mengi tu muda wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unapozungumzia watangazaji bora wa michezo hivi sasa nchini hutaacha hata kidogo kulitaja jina la Shafii Dauda wa clouds fm. Ni mtangazaji makini, ametulia, yuko composed and he knows all there...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Nachukua nafasi hii kuushangaa sana uongozi wa Klabu ya Simba kuwa ndio chanzo cha timu kufanya vibaya.Klabu ya Simba ilisajili makocha wawili yaani kocha mkuu na msaidizi iweje leo timu iwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Bodi ya Wakurugenzi, Sekretarieti, Benchi la Ufundi na wachezaji wa klabu ya Simba, wanawaomba radhi Wanachama na Washabiki wetu kwa matokeo ya leo (Jana). Tumeumia sote na tunawaomba mjue hii...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau wa Biashara United.. Watani Zangu... Mzalendo39 kapalamsenga chuma cha reli theriogenology mmteule LABANI BARAKA Antonio de Guzman Dunamist Mtile shiu yang kuku mweus -KANA- Dukeson Molembe...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mm nilifikiri malalamiko yangeelekezwa Kwa Mou ambaye anampanga Lukaku (90 minutes).... Au mlitaka lukaku ajitoe uwanjani yy mwenyewe? Kuna kipindi Lukaku aliumia na wote humu tuliona pengo lake...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Sio kwamba SIZITAKI MBICHI HIZI, kila ninvyoangalia sioni ni kwa namna gani yanga itapata pengo kwa kumpoteza Haruna Niyonzima Zifuatilie mechi za Yanga halafu katika hizo mechi akosekane Haruna...
6 Reactions
83 Replies
9K Views
TFF imehairisha mechi ya Simba na Biashara iliyopangwa kuchezwa tarehe 27 September,pamoja na mechi ya Yanga na JKT Tanzania.Kutokana na klabu ya Simba kuandika barua kuomba mechi yao na Biashara...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Our Game is Fair play! Nilistaajabu sana Jana nilipokuwa naangalia mchezo kati ya timu ya Mbao FC dhidi ya Simba SC. Wakati Wa mapumziko wachezaji wakiwa wanaingia kwenye vyumba vya kupumzikia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiwa kocha wa kimataifa ukapata kibarua cha kuzinoa timu hizo,wakati unamuaga mkeo na familia usiwaambie umepata kazi.Bali waambie nimepata kimpango cha kwenda kusimamia vyoo viwili vya soka...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii tabia watani zangu inazidi kukua kila kukicha… Matokeo ya kufungwa yanamstahili nani pekee? Ulienda uwanjani kucheza na mbao ukiwa na matokeo mfukoni? Umepigwa goli kwenye lile tundu...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma. 2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu 3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Yesterday I saw many fans of simba Sports Club lamenting and blaming the head coach about the results against Mbao FC. It's not pleasant to blame the head coach that he is the causative of team...
0 Reactions
6 Replies
942 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…