Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo tutajifunza kwa njia video utaitazama hapa Mahitaji Url ya jezi husika Muunganiko wa data Pakua hapa jezi mbalimbali hapa Tumia telegram kupakua hizo jezi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wekeni timu za uhakika bc tupate hela maana hali ngumu si mchezo kitaa hapa na buku nataka nipate hata elf kumi tu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Orodha hii imepangwa kutokana na kiasi cha fedha (net worth) anachomiliki owner wa timu.. Na anaanza owner mwenye mkwanja mrefu. 1. Jina La Mmiliki: Patrice Motsepe Jina La Timu: Mamelodi Sundowns...
14 Reactions
36 Replies
7K Views
imeandikwa na Nasri Van Man Utd Akiwa na umri wa miaka 18 ,Paul kijana mwenye kipaji asili cha mpira alianza kuwa gumzo kwenye mitaa ya Carrington , kama alivyowahi kusema mwanafalsafa mmoja kuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
1} Uwanja ÷ Urefu mita 100-120 Upana mita 50-60 Mduara wa katikani nusu kipenyo 9.15 2} Mpira Huwa na kipenyo cha Sm 68 -70 Uzito wa grm 410-450 Ujazo 1.1-1.6 3} Idadi ya Wachezaji 11 kwa kila...
0 Reactions
9 Replies
17K Views
Tanzania tulitakiwa kumpa zawadi kubwa Mwakinyo kwa kitendo cha kumpiga mkoloni. Kibanga mwenye asili ya Tanga pia alifanya hivyo huko nyuma tukampa zawadi ya kusomwa kwenye vitabu vya shule za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
KITENGE Naam jina ambalo kuanzia siku ya Jana,hadi Leo linaendelea kushika kasi kwenye viunga vya jiji hili na Tanzania nzima, Kijana ana uwezo ana mbinu yaani ana vitu flani hivi,hasa goli lake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Swali: Ni timu gani ya mpira wa miguu iliyowahi kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa kushinda mechi zote? [i.e., yenyewe ilikua inashinda tu, haikuwa kupata sare wala kufungwa] Jibu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Timu ya Manchester United inapofungwa huwa napata raha sana na naiombea ifungwe hivo hvo ili nizidi kufurahi. Je wewe ni timu gani inakupa furaha wakifungwa???
6 Reactions
139 Replies
8K Views
Wadau weken Update za Matokeo Simba vs Ndanda Kagera vs Biashara KMC vs SINGIDA UTP LIPULI vs MTIBWA
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Welcome uefa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mayweather ‘welcomes’ TZ boxer Mwakinyo to his roster Plans are afoot for Floyd Mayweather to include Tanzania’s Hassan Mwakinyo in the list of boxers who box under his promotional company, The...
4 Reactions
78 Replies
10K Views
Wadau nipo mbali na TV je kuna namna naweza angalia Mechi za Ligi ya Tanzania leo kupitia simu?
0 Reactions
14 Replies
40K Views
Wakuu karibuni tujadili sababu zilizomfanya fundi wa soka toka Nigeria na Africa kwa ujumla, Austin Jay JAy Okocha kushindwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia enzi zake akisakata kabumbu licha...
11 Reactions
157 Replies
19K Views
Kwa kipigo ambacho tunataka kumpa ' Mtu ' wiki mbili zijazo Uwanja wa Taifa kwa sasa katika Kamati yetu binafsi ya Ulozi / Urogaji tunahitaji Watu zaidi kwakuwa mkakati wa ' Kuroga ' sasa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Msimu huu wa 2018/19 TFF wamesema mwenyeji ndio atasimamia mapato na mapato yote yatakuwa ya mwenyeji baada ya makato makato. Swali kama Simba ndio wenyeji kuamua kiingilio cha Mechi zao ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakulu haya tena leo EPL ndio inaanza sasa nimeona nianzishe special thread ya The Magpies or The Toon na keshokutwa Jumatatu vijana wanaanzia kule old Trafford dhidi ya Manchester United...
0 Reactions
106 Replies
22K Views
Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni mkaubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Ameshaanza kuonyesha Chuki za wazi kabisa kwa Wachezaji wa Simba SC na hakuna asiyejua kwamba huyu Kocha pia ana mahaba mno na ya Rangi za Njano na Kijani na anajulikana tokea huko Kwao kwa...
8 Reactions
102 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…