Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

jaman kuna blog ambazo zinaongoza kupamba wachezaji tofauti na hali halisi jinsi ilivyo au inapamba timu kiasi kwamba kama shabiki unakuwa na mategemeo makubwa kumbe hakuna kitu me naanza na blog...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
MWANASPOTIAPP Mashindano makubwa kuliko yote ya soka nchini, Ligi Kuu Bara, umeshaanza. Mechi kadhaa zimeshachezwa tangu utepe ulipokatwa Jumatano, sasa ni mwendo wa mechi mpaka pale...
1 Reactions
1 Replies
990 Views
0 Reactions
14 Replies
795 Views
Nashindwa kulinganisha ubora wa Simba ya Uturuki na Yanga ya Morogoro. Wenzangu mnasemaje?
2 Reactions
48 Replies
5K Views
jana tarehe 7/8/2017 kwenye kipindi cha michezo habari cha sports extra cha clods fm habari iliyotawala ilikuwa ni ya mashabiki wa iringa kuwapiga wachezaji wa mshikamano. zogo lilianza baada ya...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau nimekiwa nikipiga kila siku kuwa vijana wetu wa Serengeti boy's sio under 17,kwa factor hizi. Kama ni kweli vijana hawa wana miaka kumi na saba, inamaana watakuwa wamezaliwa mwaka 2001 ...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Ex-junior international, Emeka Amadi, in this interview recounts how, as goalkeeper of the Flying Eagles, his team, with less than 15 minutes to regulation time, staged a dramatic comeback from...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
JINSI YA KUICHANGIA KLABU YETU. [emoji830] VODACOM M-PESA. 1.Piga *150*00# 2.Chagua 4 - Lipa kwa M- Pesa. 3. Chagua 4- Ingiza namba (123123) 4. Weka Kumbukumbu Namba (150334) 5. Weka Kiasi. 6...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
Sote Watanzania tunashuhudia kiwango vya vijana wa timu ya mpira kwa vijana wa until wa miaka 17 au Serengeti Boys. Katika uchungu wangu kikosi cha sasa ni bora na kimesheheni vipaji pengine...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
-Shiva N'Zigou alidai kuwa alifanya mapenzi na dadake na shangaziye -Alisema alifanya hivyo kusaidia katika kukuza uchezaji wake -Shiva alidai kuwa mamake alitolewa kafara Mchezaji kandanda...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Binafsi nashukuru viongozi wa timu ya Serengeti boys pia wachezaji wake kwa utetezi wa nguvu juu ya Taifa letu. PENDEKEZO Nashauri serikali kuwekeza katika timu hii kwa nguvu zote na wasiruhusu...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Wengi wetu wapenda soka tuliiona kama mkombozi wa mpira wetu,tukaipendà na kuwa wateja wa bidhaa zake,ikafaidika sana na soka nikajua.Hii Leo wamejitoa na kutuacha wapweke.Tuwasusie ili bidhaa zao...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
yanga na Mtibwa vipi mlioko huko mtujuze
0 Reactions
221 Replies
13K Views
Unbeliavable Talent..Miaka 19, anapiga pasi za pirlo, ana-turn kama Xavi, Mnyonge tumnyonge, Haki yake tumpe..FUNDI. Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii ni taarifa iliyotolewa na BBC , kwamba Rais wa Liberia Mh George Weah atamtunukia mkongwe Arsene Wenger tuzo ya juu ya heshima kwa kukuza soka barani Afrika , tukio lililopangwa kufanyia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ha ha ha ha Man United inataka kutisha sasa maana kuna tetesi za wenger kuhamia huko kama kocha akienda kuchukua mikoba ya Morinho
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Unajua kwa sasa hakuna timu yenye uwekezaji mkubwa sana kuzidi Simba hapa Tanzania. Simba mpo vizuri. Mnafaa mpewe pongezi. Heko kwa Mo na Manara kwa kazi yenu kubwa. Bila kigugumizi Simba...
9 Reactions
39 Replies
11K Views
Kocha mpya kwa timu ya Taifa 'Taifa Stars', Emmanuel Amunike ametangaza kikosi cha Wachezaji 25 kwa ajili ya mchezo wa kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya Uganda Majina ya Wachezaji hao...
1 Reactions
49 Replies
10K Views
Watakaaa mbona!!!!. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amemuomba Naibu Mwenyekiti Mtendaji wa klabu hiyo Ed Woodward kumuuza mshambuliaji wa klabu hiyo Anthony Martial. ===== Manchester United boss Jose...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…