Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu mnaikumbuka Cameroon hii ya 2000 fainali dhidi ya nigeria . Duh mda unaenda Sana Eto'o alikuwa na miaka 18 Tu Regobert song 23 duh sasa hivi Mzee Maisha haya GK Alioum Boukar (aged 28)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nijambo la kupendeza,Jiji la Machester limizizima shangwe,baada ya man city kukabidhiwa kombe la EPL #MAN CITY,EPL CHAMPION#
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Barcelona ushindi kwenye kitanzi Barcelona ushindi kwenye kitanzi
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Hapana mashaka kwa tathmini niliyoifanya soka katika bara ulaya linalovutia na kueleweka zaidi utalipata katika ligi ya Ujerumani na Italia.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Za wikendi wadau, Yanii Lukaku anamzidi Salah kwa mshahara no way. Haiwezekani Salah alipwe Pauni elfu 90 kwa wiki hii haingii akilini kabisa. Eti Pogba naye anamzidi Salah kwa mshahara. Eti de...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Zimebaki siku chache kuanza kombe la dunia 2018, startimes, dstv na econet wameshaanza matangazo ya kurusha mechi zote world cup 2018. Je azamtv watarusha au tujiandae kwenda bar?
7 Reactions
44 Replies
10K Views
Klabu ya soka ya Real Madrid imefuzu kucheza fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare ya goli 2-2 na klabu ya Bayern Munchen Kwa matokeo haya pamoja na matokeo ya mchezo...
2 Reactions
61 Replies
10K Views
Aliyekuwa Kocha wa Klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson afanyiwa upasuaji wa dharula katika ubongo wake ili kuondoa damu iliyovuja > Kwa mujibu wa jopo la Madaktari wamesema upasuaji huo...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Hakuna mwanamichezo Tanzania asiyejua maisha magumu yanga inayopitia, siyo kwa wachezaji mpaka viongozi wa timu. m wambusi ni kocha mzuri mwenye uzoefu na timu ya yanga...katika kipindi chake timu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwanahabari: mnapojiandaa kwa ajili ya elclassico huu msimu ligi ya nyumbani imekuwa na changamoto kuliko uefa hili unalizungumziaje wewe kama coach na mchezaji Zidane: ni rahisi sana kubeba UCL...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kusuasua kwa timu ya Yanga katika ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2017/2018 inasadikiwa kutokana na kutokuwepo kwa timu zinazofundishwa na makocha hawa katika ligi kuu 1. Charles Mkwasa 2. Fred...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wan jf wapenda soka, naomba link ya kuweza kuona hizi nusu fainali hasa hii ya leo ya Spain vs Italy Shururan mbele.
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Baada ya mechi ya Jana kupoteza dhidi ya Brighton Mo akawachana wachezaji wake live,alisema baadhi ya wachezaji hawaumii na matokeo kama yale pia aliwaambia waandishi kuwa kwa sasa watakuwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
NA SALEH ALLY MABINGWA wa soka Tanzania, Yanga hakika wanatia huruma hasa kutokana na hali yao ya kimaisha kwa maana ya kifedha. Yanga wameondoka nchini jana kwenda Algeria kuivaa USM Alger katika...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Utakuta wanakupa timu 16 ukishinda kumi hawakupi hela yako ni kwanini eti?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Taifa Stars Hapa Rais Jafar el Niameiri wa Sudan akisalimiana na Omar Zimbwe huku Mohamed Chuma (kushoto) na nahodha Abdulrahmani wakishuhudia. Nyuma yao ni Kitwana Manara 'popat' na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kufuatia kitendo cha mchezaji wa Yanga Kelvin Yondani kutemea mate Asante Kwasi wa Simba SC, Aprili 29 katika mechi namba 178 kwenye patashika ya mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL), mchezo...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Timu kubwa zinapocheza na ndogo za madaraja ya chini ziwe makini sana kulinda wachezaji wao wasiumie mchezoni na kusababisha majeruhi wengi clabuni. Upatikanaji na uthibiti wa bangi kwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu tuwekeni utabiri hapa kuhusu kocha atakaefuatia baada ya mzee wenger kuondoka mwishoni mwa msimu huu Mi nadhani luis enrique atatufaa zaidi hasa kutokana na staili ya uchezaji wa arsenal
3 Reactions
104 Replies
14K Views
Liver wachukue kombe au wasichukue msimu huu huyu jamaa kaonyesha kiwango cha hali ya juu sana. Anastahil i Ballon d'or.
10 Reactions
114 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…