1" Goaaaal Raphael Daudi anaifungia Yanga goli la kwanza kwa kichwa
10" Yanga 1 -0 Welayta
30" Yanga bado wanaongoza kwa goli 1, timu zote zinacheza kwa tahadhari
45" Halftime sasa Yanga...
Habari za ndani zinasema Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia makamu wa Rais wa Shirikisho hilo, Michael Wambura kutojihusisha na soka maisha yake yote.
TFF imetangaza rasmi maamuzi ya Kamati hiyo...
Tuweke kumbukumbu sawa.
Chelsea
Liverpool
Arsenal
Liverpool
Man city
Spurs game ya kwnz
*wote wamepigwa*
Arsenal akija atazikwa kabisa maana sahiz ni maututi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Je Pogba ni mchezaji wa kawaida? Maana sifa ya mchezaji mkubwa lazma upambane na kuonyesha uwezo kwenye mechi kubwa. Ninii huwa kinamfanya Pogba apotee na kushindwa kung'aa kwenye mechi kubwa kama...
Wakati ikionekana kuwa moja kati ya timu zilizokamilika sana barani ulaya(Europa) msimu huu Jamaa waliamua kufanya Business yao Mapema sana...wakakusanya chao(Points zao) mapema kabisa katika...
Nimeona Insta akimlinganisha na Rooney kwa goli alilolifunga jana!Kwa nini huwa humkubali huyu jamaa wakati mi naona ana takwimu za kutisha?
Unapenda kuleta uswahili na umekuwa ukiongoza sana...
Hakika akili ile huwa ni ya kiwango cha phD ambapo mbetiji hakosei kabisa kupanga mpangilio wa mambo atakayofanya kama mkeka wake ukitiki:
Mimi nikibet huwa natengeneza mkeka unaanzia million 35...
EPL mechi za tarehe 24 na 25 september,2016
Man United vs Leicester -1
Bournemouth vs Everton-2
Liverpool vs Hull city-1
Middlesbrough vs Tottenham-2
Stoke vs West brom-1
Sunderland vs Crystal...
Mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya ya mwaka 2005 iliyopigwa jijini Instabul nchini Uturuki inabakia moja kati ya mechi bora za wakati wote. Fainali hiyo ilizkutanisha Ac Milan dhidi ya...
Simba wanafanya kimya kimya ili waje kutangaza surprise ila kaingia Jana usiku
Muda mfupi uliopita Okwi amesaini kandarasi ya kuitumikia Simba kwa miaka miwili.Hongera Simba SC.
ULAYA: Klabu ya soka ya Arsenal ya Uingereza jana usiku imeibukana na ushindi mnono wa goli 4-1 dhidi ya klabu ya CSKA Moskva katika michuano ya Europa ligi
Magoli ya Arsenal yalifungwa na Aaron...
Naomba Msaada ni Jinsi gaani nitaweza ku-download Full Match za UEFA za Jana....April 3 & 4 ...Sababu kubwa sikupata Nafasi kuziangalia juzi na Jana UCL 2018......
Mwenyezi ujuzi ,naomba...
Leo kuna kiputwe cha ligi kuu soka Tanzania bara kati ya ambacho kinapigwa mkoani Njombe.
Timu ya Njombe mji inawakaribisha miamba wa Soka kutoka Dar, Simba SC ambao ni vinara wa Ligi kwa sasa...
Klabu ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga itarajiwa kushuka dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam mnamo Aprili 07, 2018 kuwavaa Welaita Ditcha ya Ethiopia huku ikiwakosa nyota wake...