Jamani tumetuma wawakilishi wetu huko ambao tunahitaji kuwashuhudia live wakijitahidi kupeperusha bendera ya Tanzania. Ni channel gani ya bongo yenye uzalendo inayoonyesha michezo hiyo??
REKODI 4 ZA CHRISTIANO RONALDO KWENYE SOKA AMBAZO ZITAKUA NGUMU KUVUNJWA NA MTU YOYOTE KATIKA ULIMWENGU WA SOKA.
Akiwa katika ngazi ya klabu au timu ya taifa, Christiano Ronaldo anaonekana...
Habari za asubuhi wana JF. Nianzie kwa kuwatakia Jumapili njema...na pasaka njema kwa wale ndugu zetu wa imani hiyo.
Jana nilifuatilia kwa karibu sana mechi ya Azam na Mtibwa. Mpambano ulikuwa wa...
Za Usiku wakuu,
Jana kulikua pale Mlimani City na utoaji wa Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival, au SZIFF kwa kifupi. Tuzo hizi ziliandaliwa na kuratibiwa na kituo cha Television cha...
ULAYA: Klabu ya soka ya Liverpool ya Uingereza imeinyuka klabu ya Manchester City ya Uingereza goli 3-0 katika Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya
Katika mchezo huo uliofanyia katika uwanja wa...
Naomba usikilize hii Audio na kutoa saport yako .
Maoni yako pia siyo mbaya na kama kuna blogger atapita hapa basi naomba support yake Nimtumie Audio aniwekee kwenye blog yake.
Na kama kuna...
Kitu pekee ambacho Guardiola anatakiwa awe anamshukuru Mungu...... Katika maisha yake ya ukocha. Nikupata bahati ya kumfundisha Messi. Enzi alipokuwa kwenye kilele cha kiburi, jeuri, na...
Eebana huyu jamaa anaendelea kutudhihilishia walimwengu kuwa Dunia bado inaviumbe wa ajabu katika suala la soka. Mgoli wake wa pili unaweza toa Harara, mapunye , utapiamlo, kaswende, kisonono, tb...
Kwa mtu yeyote yule uliekamilika kusikia vizuri tu hadi kufikia saa tisa ya leo tarehe 4/4/2018 hujasikia majina haya "CRISTIANO RONALDO", "CR7' au "REAL MADRID"....
niPM namba yako nikutumie...
MATOKEO: Bondia Anthony Joshua wa Uingereza amefanikiwa kuchukua mkanda wa WBO baada ya kumpiga kwa points bondia Joe Parker wa New Zealand
Majaji katika ngumi hizo walimpa Joshua ushindi wa 118...
Salamuni.....
Nimekuwa nafatilia sana michezo ya betting, na nikawa nimependelea kucheza na Bikosports. yaani, najuta hawa jamaa ni wasanii balaa. Leo kulivyo na mechi nyingi Ulaya katika nchi...
Ni kiongozi gani wa Yanga alie idhinisha kuuzwa kwa Deus Kaseke Singida United.How comes unamuuza mchezaji mwenye uwezo na msaada mkubwa katika timu kama Deus Kaseke ? Viongozi wa Yanga kama...
Kama ilikupita hii.....Povu la Manara kwa Abdi Banda mchezaji wa zamani wa simba anayechezea Baroka fc ya south Africa
" Kumjibu mtu mjinga ni kufanana nae..ila kumwelimisha mjinga ni kumsaidia...
Klabu ya soka ya Real Madrid ya Uhispania imeitandika klabu ya Juventus ya Italia goli 3-0 katika Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya
Katika mchezo huo uliofanyia katika uwanja wa nyumbani wa...
Heri ya pasaka wanajamvi awali ya yote ningependa kuwapa hongera timu ya Singida kwa kuwang'oa timu ya Yanga jana wakati mpira unaanza niliwaatahadharisha mapema mashabiki wa Yanga kuwa lile kombe...