Nisipoangalia vzur naweza kuwa muathirika Wa hilo tatzo kwani kubeti kunasababisha presha hasa pale unapokuwa unafatilia mechi/timu ambayo umeibetia.
*HOJA*
Sent from my UTAJIJU SMARTPHONE.
kwanza nimeeleza kwamba sasa ni wazi Wenger anaondoka msimu huu. Kwenye post ntaonyesha dalili zinaonyesha Thomas Tuchel ndiye anachukua nafasi yake.
1. Usajiri wa Obemeyang na Mkhitarian
Si...
Tusichoshane sana Sikukuu hii rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha tiririka na serereka zako.
Akhsanteni wana Singida sasa tutaheshimiana mjini hapa.
Nawasilisha.
Mechi ya mwisho ya robo fainali imechezwa katika dimba la Namfua, ni mtanange wa kukata na shoka.
DAKIKA 90 ZINAKAMILIKA WANAENDA KIPINDI CHA PENALTI
Dak ya 89, Pigwa hukuu Yanga wanaokoa na...
Josep "Pep" Guardiola Sala (#Pep)- #ManchesterCity
José Mário dos Santos Mourinho Félix,(#JoseMourinho) - #Manu
Carlo Ancelotti OSI - only manager to have won the UEFA Champions League three times...
Habari za jioni wanajamvi.
Awali ya yote nimshukuru Muumba kwa kuniwezesha kuiona Jumapili ya leo, na nikaweza kudiriki kuishika kalamu.
Ligi kuu ya VPL imeshika kasi sana kipindi hichi ambapo...
Mabosi wa Chelsea walikawia kumfukuza kazi kocha wao Muitaliano Antonio Conte kwasababu ya ligi ya mabingwa Ulaya mara baada ya kuvurunda kwenye EPL. Sasa huku kwenye Uefa nako ameshaharibu...
Nimejikuta najiuliza hivi ni kwanini uongozi wa TFF wanampiga vita wambura kiasi cha kwamba wamempiga vita kujihusisha na maswala ya mpira mpka wakamfungia.
Kitu ambacho cha kushangaza kama...
Wakuu kumekucha , yule mbabe wa Dunia wa Ngumi za kulipwa uzani wa juu ( Heavywheight Champion) Bondia Antony Joshua a.ka. AJ amepata challenge kutoka kwa Bondia Joseph Parker (New Zealand) na leo...
Nilikuwa naangalia game kati ya Ureno na Uholanzi ambayo imeisha kwa Ureno kufungwa tatu bila.
Sasa baadae akaja jamaa mmoja akakaa karibu nami (wakati huo Ureno washakufa 3 na mimi ndio timu...
Hivi wadau naomba kuuliza kulikoni VPL??
Kitu kinacho nishangaza hata Apps zile zipizoanzishwa kwa ajili ya updates za VPL zinashindwa kuwa updated. Kulikoni nimeangalia ligi haiendelei this week...
Hili liwe jambo la kwanza ambalo nchi zote zenye bifu na Russia na ambazo zimo kwenye orodha ya michuano hii zinapaswa kulifahamu .
Russia inatoa Venue tu , kwahiyo hakuna haja ya wadau kuweka...
Baada ya ligi mbali mbali duniani kupumzika kwa takribani wiki kwa kupisha mechi za timu za taifa, wikiendi hii ligi hizo zinarudi tena kwa kurudisha furaha kwa mashabiki wake wakiwemo...