Team news
Spain will host Argentina at Wanda Metropolitano in Madrid, Spain, with kick-off scheduled for 8.30pm UK time on Tuesday, March 27.
Lionel Messi has recovered from a muscle injury...
Hongereni vijana wa Taifa stars hakika leo tumeonyesha soka murua kabisa.Kile kipigo cha algeria lilikuwa somo zuri kwetu.Mpira tumecheza na matokeo tumepata.Taifa stars Wawa
Watanzania leo hamasa...
Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?
Aidha kasema siku hizi tuzo za mchezaji bora zina vipengele ambavyo kila saa hubadirishwa kulingana na ama CR7 au Messi...
Huyu dogo bana anajua mpira na yupo kwenye form ya hatari tangu aanze kucheza mpira magoli kafunga ya kutosha ndio aliyeivusha juve hadi robo fainali ya uefa champions league
Juve wanamtegemea...
Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF imemuita aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura ambaye alifungiwa maisha kujihusisha na soka kwenda kujitetea kuhusu rufaa aliyoikata.
Shirikisho la soka barani Ulaya(UEFA) limethibitisha kwamba timu za soka zinaweza kuweka majina 12 ya wachezaji wa ziada kwenye mechi za fainali za Ligi ya Mabigwa(UEFA Champions), Ligi ya EUROPA...
Ni Godfrey Mwashiuya ambae hapo awali alitaka hiyo Mimba itolewe lakini Mwanamke akakataa kisha akawa anamtishia huyo Mwanamke kuwa asipoitoa atamuacha lakini bado huyo Mwanamke akakomaa hadi...
Wana JF, habarini wakuu!
Jana nilipata nafasi ya kuangalia mechi za kirafiki lakini mechi mbili zilinivutia sana, mechi kati ya German vs Brazil na pia Spain vs Argentina. Lakini kwa mtazamo...
Kikosi kitakachowavaa congo leo hii
1': Mpira umeshaanza kutoka Uwanja wa Taifa
3': Msuva anachukua mpira, kwake Kapombe, piga krosi lakini kipa wa Congo anadaka
4': Kichuuya, piga shuti moja...
Wanabodi,
Ni kawaida vyombo vya habari kufanya interview na wachezaji wetu wanaofanya soka lao nje ya nchi. Hivi majuzi hao Sports Extra wamemhoji Msuva. Msuva naye ili kunogesha mahojiano...
Jamani naombeni mnisaidie kwa anaejua ofisi za Azam football club zilizo bandarini anielekeze zilipo nipo Tegeta asanteni
Naombeni msaada wenu wa hali na Mali
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi, limetoa ratiba mpya ya marekebisho ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ikionyesha mchezo baina ya mahasimu wa jadi, Simba na Yanga sasa...
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema watu wenye "ubongo" na "fikira za kuelewa mambo ya msingi" wanafahamu na kuelewa kwamba klabu hiyo imo kwenye kipindi cha mpito.
Mourinho...
Wachezaji wanne wamejitoa kutoka timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakipinga matayarisho mabovu kuhusika na mchezo wa kirafiki wa kimataifa likiwa ni tukio la pili kama hilo...
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo Jumapili imemteua Athumani Nyamlani kukaimu nafasi makamu wa rais wa shirikisho hilo.
Nyamlani ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji...
Inaonakana kama Vile .....
Maandalizi yamekamilika kwa Asilimia 95% kilichobaki ni Muda kufika na Michuano kuanza lakini inaonekana kama Vyombo vya habari viko kimya Sana Hasa zikiwa...
Habari za muda huu wanasports wenzangu?
Kipa hapa mbele yenu kutoa views zangu kuhusu huyu goal keeper number 1 wa Barca bwana marca Andre terstegen kwa umahiri anaouonyesha sasa ni wazi kabisa...