Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anaonekana kupitwa na wakati na tabia zake zimebadilika , kulingana na mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Chris Sutton.
Mourinho amekosolewa na baadhji...
Baada ya kufungiwa, Wambura aibua mapya TFF
Ukimwaga mboga, namwaga ugali ni miongoni mwa misemo maarufu ya lugha ya Kiswahili ambao unaweza kutimia baada ya Makamu wa Rais wa TFF kufungiwa...
Usipoutumia vizuri uwanja wako Wa nyumbani usitarajie muujiza ugenini.
Tabia ya mashabiki Wa yanga na Simba kushangilia wageni kwa nguvu zote kwenye mechi zetu za nyumbani inatufanya tushindwe...
TIMU ZA N.AFRICA ZITAENDELEA KUTAWALA
-Ukizungumzia soka la bara la Africa Maarufu kama CAF champions league lazima utagusa ukanda wa Afrika kaskazini sababu klabu kutoka ukanda huo wamekuwa...
Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps, amesema kuwa Paul Pogba hatoweza kuwa na furaha kwenye kikosi cha Manchester United.
Paul Pogba yuko kwenye kikosi cha Ufaransa kitakachokuwa...
Naukumbuka sana uongozi uliotukuka wa Leodegar Tenga kama Rais wa TFF na mafanikio mengi aliyoyafanya hasa hasa kwa kuunda kamati mbalimbali ndani ya TFF ambazo zilikuwa na zinafanya kazi kwa...
Habari,
Naomba mwenye kufahamu sheria za nichezo ya netball(mpira wa Pete) na volleyball (mpira wa wavu) zenye tafsiri ya kiswahili anipatie ambayo inatumika hapa kwetu Tanzania. Ikiwemo pamoja...
TFF wajibu hoja za Michael Wambura
Shirikisho la soka nchini TFF limejibu tuhuma zilizotolewa na makamu wa rais wa shirikisho hilo Michael Richard Wambura, baada ya hukumu ya kufungiwa maisha...
Ratiba ya hatua ya mechi za nusu fainali kombe la FA imetoka usiku ya kuamki leo
Katika ratiba hiyo Manchester United wamepangwa kukutana na Tottenham Hotspur. Chelsea wao wamepangiwa kucheza na...
Mimi si shabiki wa Simba. Ni wa Yanga. Lakini, nawiwa kuwashauri watani wetu wa jadi. Nawashauri mwaka huu wakaze uzi hadi wanyakue ubingwa wa ligi kuu.
Maana, tayari wamesharudi mchangani na...
Al Masry 0 - 0 Simba SC
(Agg: 2 - 2)
01': Mechi imeanza na Masry wamekuwa wa kwanza kufika katika lango la Simba. Manula yuko makini
03': Simba wanamuachia Mohammed kupiga kichwa akiwa peke...
Wapo wengi watashangaa hasa timu yangu ya yanga nini kimetokea wamecheza vizuri hivi
Kwa wasiojua vijana walipunguziwa madeni yao na ni bahati mbaya tu awakushinda lakini walikuwa wawe na week...
Hivi ukifungiwa maisha na TFF usishiriki masuala yoyote ya soka ni mambo yepi hasa inatakiwa usifanye? Na je ikitokea bado huyo mtu akaendelea kufanya mambo fulani ya michezo ni hatua zipi...