Township Rollers 0 - 0 Yanga SC
(Agg; 2 - 1)
01': Mpira umeanza hapa
02': Dakika ya pili ya mchezo, mpira unaendelea
03': Township wanamiliki mpira eneo la kati, unapigwa kwenda mbele lakini...
Muda mfupi baada ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumfungia kifungo cha maisha Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo, Michael Wambura ameibuka na kudai kuwa uamuzi huo ni...
Baada ya kuona jinsi alivyowapeleka mbio kwenye mechi za Dar na Port Said, Al Masry wanataka kumnunua Okwi toka Simba.
Hakuna shaka Okwi ni mchezaji mahiri lakini hawajui utovu wake wa nidhamu...
Mimi ni mmoja wa wadao wanaofanya michezo ya betting kupitia makampuni ya betting hapa Tanzania, cha kusikitisha kuna kampuni moja kubwa ya betting hapa nchini inajulikana kwa jina la PREMIERE...
Ni vita ndani ya epl msimu huu..
Wanaume watatu, Mo salah, Harry Kane na Sergio Aguero wanaonekana kuwa wa moto wote wakiwa na uchu wa kichukua kiatu cha dhahabu.. Salah kutoka Liverpool akiwa na...
Kamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu.
Kosa la...
Hiki ni kikosi cha Ghana kilichoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2010 pale bondeni South Africa na safari yao ilisitishwa robo fainali na Uruguay baada ya Luis Suarez kudaka mpira uliokuwa unaenda...
Blanket limekuwa white badala ya green, baridi ni kali sana. Jirani zangu pambaneni makombe yote yaje Manchester. EFL,EPL,UCL > Manchester City, FA > Manchester United.
Habar za jioni wadau wa sports,
Mechi ya marudiano kati ya Simba Sc na Al Masri utakaochezwa Jumamosi tarehe 17/3/2018 saa 2.30 usiku saa za afrika mashariki utarushwa live na channel moja ya...
Huwa najiuliza sana ni kwanini baadhi ya Watu hupenda Kuuliza kwamba hivi ni nani ameturoga Sisi Watanzania na nikawa hadi nahisi kuwa pengine hao Watu walikuwa tu wanawasingia Watanzania ila kwa...
Wapendwa!!!
Mimi ni shabiki wa simba damu
Ila Nmeota hivi
Al Masry-Simba 0-2
T.Rollers v Yanga 1-1
.
.
Wapendwa hapa kichwa kinauma kwa mawazo kwanini jirani zangu wafungashwe virago...
Barcelona ni klabu bora kwa miaka kadhaa lakini leo watakapokuwa darajani dhidi ya Chelsea na hata mechi ya Marudiano baada ya majuma mawili pale Nou Camp sitegemei maajabu yoyote ya Barcelona...
Nasema kuanzia jana na hadi mwisho wa mkataba wako kamwe sitakuwa mshabiki wako kabisaaa
Ujinga na upumbavu ulionesha jana kwa makusudi yako ndiyo yameipa timu aibu na kutolewa kipumbavu wakat...
Ndio nimeamini mpira wa Tanzania utabaki mdomon tu
Klabu iliyojizolea mashabiki lukuki kwa muda mfupi singida united Sasa inaporomoka kwa kasi tungekuwa bado tupo raund ya kwanza Nina uhakika...
Historia yake ni mitifuano tangu FAT na sasa TFF. Hivi hakuna kazi ingine anawezafanya? Tumechoka kusikia majina yaleyale miaka ndenda rudi huku mpira wetu ukiendelea kubaki palepale.
My take:
Endapo Abrahmovic (mmiliki wa Chelsea) atashindwa kujieleza utajiri wake kaupataje, inaweza kupelekea anguko kuu la Chelsea FC siku si nyingi.
Waingereza sasa wameamua kama mbwai na iwe...
Nadhani sote ni mashahidi wa kelele zilizopigwa humu baada ya England kuingiza timu zake 5 kwenye hatua ya mtoano.
kelele mzilipigwa kwelikweli, kuwa England imerudi tena, mara spain hamna kitu...
Wakuu habari zenu?
Baada ya kupatikana timu 8 katika mashindano ya
uefa champions league Kesho tarehe 16 March
kuanzia saa saba kamili mchana kutakuwa na
upangaji wa mechi katika hatua ya...
MAKAMU Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Michael Wambura ameeleza suala Kamati ya Maadili ya shirikisho ni la kimkakati zaidi na si la kisheria.
Akizungumza leo jijini...