Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hivi ukifungiwa maisha na tff usishiriki masuala yoyote ya soka ni mambo yepi hasa inatakiwa usifanye? Na je ikitokea bado huyo mtu akaendelea kufanya mambo fulani ya michezo ni hatua zipi...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Kama title hapo juu inavyojieleza.Mimi kama mshabiki wa majogoo wa jiji,jana usiku nilifadhaishwa mno na uamuzi wa UEFA kuifurusha man-U katika UCL kwasababu katika mechi ya mwisho ya UCL man city...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Arsenal iwe isiwe lazima watwae EUROPA Msimu huu, vinginevyo CL wataisikia Redioni.
1 Reactions
3 Replies
689 Views
Mimi kama liverpool fan tangu enzi za gerrard houllier kwa kusema ukweli naogopa sana liverpool akipangwa na barcelona kwenye hatua ifuatayo ya 8 bora.Kama ningekuwa na uwezo basi ningependa sana...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wawakilishi wetu watapeperusha bendera yetu ya Taifa,sema neno lolote kwao
0 Reactions
4 Replies
906 Views
heey! najua umekuja kasi ukitaka kuporomosha data na takwimu kuhusu mchezo wa Chelsea na Timu inayo ongozwa na mchezaji bora wa dunia L.M wakati meingine hisia huweza kuwa sahihi zaidi ya hizo...
3 Reactions
90 Replies
10K Views
Mechi inapigwa muda mchache ujao, wanasoka huu ni uzi wenu wa kupeana updates kuhusiana na mechi ikiwa inaendelea. Vikosi: Barcelona: Ter Stegen; Roberto, Umtiti, Pique, Alba; Busquets, Rakitic...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Huwa najiuliza sana ni kwanini baadhi ya Watu hupenda Kuuliza kwamba hivi ni nani ameturoga Sisi Watanzania na nikawa hadi nahisi kuwa pengine hao Watu walikuwa tu wanawasingia Watanzania ila kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchezo huu utaruka kupitia chaneli ya SS10 namba 210 ndani ya kifurushi cha BOMBA kwa shilingi elfu 19 tu. Leo hamna haja ya kwenda bandani, asanteni Dstv.
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Hakuna ajuaye ni maneno gani aliyoyasema Lionel Messi mara baada ya kufunga goli la kusawazisha dhidi ya Chelsea. Pengine kwa kuhisia yawezekana alifarijika sana baada ya kufunga goli kwenye mechi...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Jaman matokeo ninayo Barca kampiga Chelsea magoli mawili na mpira umeisha hivo hivo Barca kapita --------------- Baada ya sare ya 1-1 wiki mbili zilizopita, leo tunaumaliza utata wa timu gani...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
UCL is back again, na kama wewe ni mmoja wa mashabiki damu wa Chelsea, utakua unajua fixture iliyopo mbele yetu na jinsi timu ambavyo imekua na perfomance ya kuyumba kidogo hapo nyuma, Je kwa...
4 Reactions
77 Replies
8K Views
CAMEROON: Nyasi mbandia zilizotolewa katika uwanja wa Douala ili ziwekwe nyasi halisi zimeibwa na kuuzwa kinyemela. Nyasi hizo bandia ziliondolewa katika Uwanja huo ikiwa ni katika maandalizi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amung'amu sana, nimeota Man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya Sevilla huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa Sevilla wakiongozwa na...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
Najawa na imani na Rais wa Tff ndugu Wallace Karia ,hakika Tff ya sasa itakuwa na nidhamu . 1.Kipindi Karia akiwa makamu wa rais wa Tff alikuwa na mahusiano mabaya na rais wa wakati huo Jamal...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Meneja wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema hatua ya klabu hiyo kutupwa nje ya michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya katika hatua ya 16 bora "si jambo geni" kwa klabu hiyo na si...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nipeni link au app nitakayocheki hii mechi online leo usiku
0 Reactions
6 Replies
822 Views
ULAYA: Klabu za Soka za Sevilla ya Uhispania na AS Roma ya Italia jana usiku zimefuzu kucheza hatua ya robo fainali katika michuano ya Klabu Bigwa barani humo Sevilla wamefuzu baada ya...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Je ni Offside au ni Goli halali? Binafsi naona ni Goli halali.
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Habari Wakuu.. Poleni na Majukumu Naomba kuuliza.. Nahitaji tiketi nne za mechi ya fainali ya kombe la dunia kwa ajili ya kuandaa promotion kazini kwetu. Tumechelewa kufanya manunuzi ya ticket...
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…