Baada ya suluhu dhidi ya Arsenal leo Chelsea wanarudi darajani kupambana na Leicester ambayo tokea Claud Puel ameichukua imekuwa na matokeo ya kuridhisha..Chelsea hawapo katika situation nzuri...
Sasa anaongoza kwa magoli Man City huku akimuacha Aguero,anawafukuzia Salah na Kane kimya kimya.Watu hawamuongelei huyu kijana lakini huyu jamaa ni hatari kwenye msimu huu.
Serikali ya Saudi Arabia kwa mara ya kwanza imewaruhusu Wanawake kuhudhuria kutazama Mchezo wa Mpira wa Miguu
Aidha Wanawake wataruhusiwa kuendesha magari kuanzia mwenzio Julia mwaka huu
Huu ni...
Alichokifanya Chirwa ni kufikisha ujumbe kuwa wachezaji wawe wanalipwa stahiki zao kwani wanaweza wakanya kitu ambacho kitailiza timu na kuokost.
Yanga timu yangu pendwa tuache janja janja za...
THE PRESENT IS NOW:::
Jamaa akasema Uno..Dos..Tres..Hala Madrid¡..uwanja mzima wa Santiago Bernabeu wote ukaitikia Hala Madrid..
Uno(one),,dos(two)..tres(three)..
Cristiano Ronaldo Dos Santos...
Mechi ya yanga na URA inaenda kuanza mda si mrefu.
Kikosi cha yanga cha Leo
1. Youthe rostand
2. Kesi
3. Mwinyi
4. Vicent dante
5. Yondani
6. Papy Kabamba Tshishimbi
7. Buswita
8. Makapu
9...
Wadau,
Nimesekiliza watanzania tuongee magazeti ya radio free afrika leo hii, nikasikia habari ya kile alichosema Eric Abidal wakati amefanyiwa operation ya kansa ya ini wakati akicheza Barcelona...
Ilikuwa ndio msimu wa kwanza wa Jose Mourinho ndani ya kikosi hiki cha Chelsea.
Chelsea walichukua ubingwa wa EPL kwa point 95 ambazo hazijawahi kufikiwa na timu yoyote mpaka leo, huku wakiruhusu...
Povu la Haji Manara kwa Shaffih Dauda
"Tunajua ww una ugomvi wako binafsi na baadhi ya viongozi wa Simba.lakini usitafute ugomvi na wanasimba wote,Sie kufungwa sio wa kwanza na hatutakuwa wa...
Hii kauli yake ya juzi ya kusema atafutiwe msaidizi haraka ina maana gani?
wazee wa ten percent mshakubaliana awakatie kiasi cha hela kwenye mshahara wake kila mwezi?
alivyokuja si alisema begi...
Sio Christiano Ronaldo
Sio King Leonel Messi
Ni Faiq Bolkiah. Anachezea club ya leicester city reselve team. Katika umri wa miaka 20 anamiliki utajiri wa US$ 20 billion.
Ni nephew wa sultan wa...
" Eti siku zote Mume akifa na UKIMWI hata Mke nae atafuata muda si mrefu ". Wakaenda mbele zaidi na kusema " kawaida Mke mwema hupenda sana kuongozana na Mumewe kila aendapo " na wa mwisho...
Packages include official match tickets, hotel accommodation and round trip tickets.
More details to follow soon...............
MWISHO wa kujisajili ni tarehe 31 January 2018!
Hii nimeiona Tanzania peke yake tena pale Benchi la ufundi yanga kwenye mechi ya jana, mchezaji ambaye amekaa nje ya uwanja kwa zaidi ya week mbili tena akiwa kwao, anasafiri masaa machache...
Mfanye mrudi tu uku maana msidhani kuna mshindi wa tatu, hakuna vya kusema mmekufa kiume wala kike, kifo ni kifo tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1]
Bila shaka hakuna anayeweza kubisha kuwa Group B la Mapinduzi Cup litaongozwa na Yanga SC.
By tha way! Kama unabishana na hilo ,huenda ukawa unadhani kuwa Azam FC anaweza kuongoza hilo kundi...
MAPINDUZI CUP
FT: SIMBA 0 - 1 AZAM
Huu mfumo wa mabeki watatu(3) anaotumia huyu kocha Masud Djuma wa Simba ndio utamrudisha kwao na kuiacha timu ya simba ktk nafasi mbaya mno.
Tena anapokutana...
Niseme tu ukweli na bila kuficha au kuwa ' Mnafiki ' ninachokiona katika haya ' Mashindano ' ya Ndondo Cup si vitendo vya ' Kimaadili ' kabisa hasa katika ' Jamii ' yetu ambayo ilianza '...