Nimeamini mpira na timu bora ni mbinu za soka toka kwa kocha.
Wakati huo huo wachezaji wanaojielewa na wenye vipaji.
Gadiola kafanya makubwa kuunda timu inayoelewana na yenye mbinu za mchezo...
Kiwango kinachooneshwa na Zanzibar Heroes kwenye michuano ya kombe la Chalenji kimeendelea kushtuwa wengi, kubwa kuliko ni leo Dec. 9, 2017 baada ya mchezo dhidi ya wenyeji Kenya, baadhi ya...
Dodoma. Wakati dirisha la usajili likifungwa saa 6 usiku wa Ijumaa, Uongozi wa Singida United umethibitisha kuwasajili wachezaji sita wakiwemo nyota wa kikosi cha Serengeti Boys.
Wachezaji wa...
Mimi ni shabiki wa simba lakini kuna baadhi ya mashabiki wa Sumba wanakera! Ukipitia akaunti nyingi facebook na mitandao mingine ya kijamii, unakuta mashabiki wengi wa simba wanaeneza habari kuwa...
“Notwithstanding the above, we are now in the position to inform you that after carefully examination of all documents submitted by both Simba Sports Club and Tanzania Football governing body...
Katika moja ya enterview moja msimu uliopita Pep alisema
“I am not here to change English football,'. 'I am not here to change the Premier League. But my team is going to play in the way I believe...
Sisi kama timu tumeamua kujitoa kwenye mbio za kuwania ubingwa wa EPL ili kumuunga mkono Pep Guadiola maana anachokifanya sisi kama upinzani ndo ilikuuwa dira yetu.Hivo kesho tutajiunga rasmi na...
Ukiiangalia vizuri na kwa umakini wa hali ya juu, utagundua kabisa klabu hii kongwe ya huko kaskazini mwa jiji la London inapitia kwenye matatizo makubwa zaidi kuwahi kurekodiwa siku za nyuma...
Meneja wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema "angelikuwa likizoni Brazil au Los Angeles" iwapo angekuwa anaamini kwamba mbio za Ligi ya Premia msimu huu zimepata mshindi.
Alisema...
THE CALCIOPOLI SCANDAL
Nipo na jaribu kuisoma kwa mara nyingine hii kashfa ya upangaji wa matokeo pale Italy..Najikumbusha kwa umakini mkubwa mno..Najikumbusha huku nikiliangalia hili jina la...
Kwa jinsi upepo wa siasa za chama cha mapinduzi unavyo kwenda na ukizingatia kilicho tokea pale ZFA ilipo kubaliwa kuwa mwanachama wa FIFA na baadae kuobdolewa, kuna kila dalili umakini ulio...
Wasaalamu!
Ni nderemo na vifijo kwa Mkoa mzima wa Singida na viunga vyake. Hatimaye kwa takribani miaka 17 sasa Tumefanikiwa kupandisha timu Ligi Kuu Ya Vodacom kwa Msimu mpya ujao wa 2017/2018...

Baada ya Yanga kuchelewa mahasimu wao Simba wameibuka kwa mbele na kupeleka ofanono kwa Mtibwa Sugar kwa ajili ya kiungo Mohamed Issa 'Banka'
Kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Mohamed Issa...
Si Utani wameniboa ile mbaya kama mtanzania mzalendo. Kiwango chao walichonacho ni tofauti na wachezaji wote wanaoshiriki hii michezo, Kwa kuwa wamefanya maksudi kutuaibisha, heshima yao ni...
Salaams wana JF,
Je wewe ni mkazi wa Mbezi Beach na maeneo yaliyokaribu,je unapenda michezo hasa mpira wa miguu na jogging au fitness fanatics?Kama jibu ni ndio basi njoo tujumuike pamoja kwenye...
Matokeo ya boxing yamegawanyila katika makundi makuu matatu ,lakini makundi haya yamegawanyika katika vipengele vingi sana.
Sasa leo tunaenda kujifunza kipengele kimoja baada ya kingine...
Hatimaye Floyd Money Mayweather akubali kurudi tena ulingoni 2018 kuzichapa na Gennady Gennadyevich Golovkin (GGG) ili kudhihirisha kwamba GGG si lolote so chochote mbele yake.
Kwa mujibu wa...