Ni suala la muda tu kwa sasa ndio linalosubiriwa , hakika Dortmund iliruka mkojo na kukanyaga kinyesi !
Imekuja kubainika kwamba Huyu ni kocha mbovu asiye na mbinu wala mipango yoyote ile ya...
UKIFIKA katika eneo la mazoezi la Arsenal katika eneo la Colney, takribani kilomita 41 kutoka katika ya Jiji la London, hakika utasema kuwa Arsenal ni klabu kubwa na ina mipango madhubuti.
Eneo...
Balon d'Or ni tuzo inayotolewa kwa mchezaji bora wa ukanda wa Ulaya, lakini ni tuzo ambayo unachukuliwa kama mafanikio makubwa kwa mchezaji mwenyewe. Utoaji wa tuzo hiyo inatolewa usiku wa leo...
Ronaldo amechukua tuzo ya tano lakini ikiwa ni ya tatu mfululizo je hii ina mnisha nini kwa soka la leo n ina madhara gani kwa wapinzani wake katika soka na faida yake kibiashara kwa ronaldo mwenyewe
Salaam kwenu,
Binafsi nimekerwa sana na matokeo ya timu yetu ya mpira huko kwny mashindano ya CECAFA. Timu hiyo imefungwa tena magoli 2-1 baada ya kufungwa idadi hiyo hiyo na ndugu zetu Zanzibar...
Mabibi na mabwana kwa mara nyingine tena kampuni ya multichoice inayomiliki king'amuzi cha dstv kupitia chaneli zake za supersport imefanikiwa kushinda tena tenda ya kuonyesha michuano ya UEFA kwa...
Habari ndugu, inabidi Tanzania tufike sehemu tuache longolongo kwenye swala zima la michezo, kila siku tunasikia kauli hizi zinazokera na kuchosha masikio ya watanzania wengi "Msimu huu Tanzania...
Habari?
Duuh! tangu mwaka huu nashuhdia mikeka yangu ikiwa inadead tu yani sijui timu zangu nnazozipa ushindi zimeshuka kiwango,
mfano majuzi man city niliwuwukea elfu 20 nikaliwa, Barca ndio...
Wadau mnaonaje hili la kusimamisha VPL ili kupisha upuuzi wa Challenge chini ya CECAFA?
Kwa nini ije katikati ya ligi yetu? Wenyeji Kenya wamemaliza ligi yao kwanza ndiyo wakaandaa upuuzi huo...
Hii nchi kwa suala la kandanda tukubali hakuna kitu,
Hivi kwanini tusitafute mchezk tunaouweza vema na kuumudu tukawekeza huko naamin tungesikika kimataifa kuliko kulazimisha michezo kama soka..
Mchezaji wa timu ya Singida United ya Singida, Mudathir Yahaya amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu soka Tanzania Bara (VPL) kwa mwezi Novemba.
Mudathir ametwaa tuzo hiyo baada ya...
Wangapi mnakikumbuka Kikosi hiki kilichoshiriki Euro 96 palepale kwao England
Kutoka kushoto kwenda kulia gary neville, David platt, mcmanaman, Darren anderton, seamen na shearer
Waliochuchumaa...
Zanzibar heroes imeivua nguo stars kwa kuinyuka 2-1, na kudhihirisha kuwa soka ni uwanjani na sio kwenye magazeti.
Waandishi chonde chonde msipende kuwapa vichwa hao kwa kuwaambia 'eti' wamekufa...
For TP Mazembe, the richest club in Africa, the future looks bright
Jamie Rainbow
February 16, 2013
63shares
TAGS:Congo DRMoise KatumbiRégis LaguesseTP Mazembe
image...
Kiukweli kwa miaka ya karibuni unapozungumzia Tuzo ya mchezaji bora wa dunia , ni kama moja kwa moja unamzungumzia Christiano Ronaldo pekee , Lionel Messi ni kama msindikizaji tu .
Ikumbukwe...
1. SIMBA SC (Tanzania).
2. Arsenal FC (England)
3. Man Utd (England)
4. AC Milan (Italy)
5. Barcelona (Spain)
6. Bayern Munich (Germany)
Club zinazoendeshwa kwa mfumo wa wanachama ni;
1. Yanga...
Wapenda soka heshima kwenu,
Kiukweli hao niliowataja wanatia uchungu sana, wamekuwa kama madalali wa nyumba na Viwanja huku Mitaani wanavyotangulia kwa wenye nyumba kuwapanga ili mteja akifika...