Huyu Kocha wetu wa sasa Mzambia George Lwandamina kiukweli Mimi GENTAMYCINE kama mwanachama halali kabisa wa Yanga SC nasema hatufai na hatuoni ' tija ' yake ndani ya Klabu yetu hivyo...
Mchango wa msiba
Kufuatia taarifa ya ghafla ya msiba wa baba mzazi wa mchezaji wetu ndugu yetu asante kwassi uliotokea kwao nchini ghana, uongozi wa lipuli fc unakuja kwako mwanachama, mpenzi na...
Wana msimbazi leo mitaa ya jioni ilinikutia kariakoo mitaa ya msimbazi ,nikaona kijiwe cha kahawa cha wanachama wa simba nikaamua niende kujumuika nipate vikombe 3 vya kahawa ili nichangamshe...
Homa ya Kariakoo Dab ndio hiyoooooo.
Mbali na timu hizi kuwa ndio kongwe nchini, pia ndizo zenye washabiki wengi kwa sasa nchini Tanzania na nje ya nchi kama tulivyoona siku za hivi karibuni huko...
Kikosi cha England ( The three lions ) kilichoshiriki Euro 2004 nchini Ureno, kikiwa na mastaa ambao waliunda sehemu ya kizazi cha dhahabu cha Waingereza kuanzia mwaka 2004 mpaka 2012. Ni...
Ronaldinho gaucho alifiwa na baba yake akapata taarifa kwa kuwa walikuwa na mechi muhim akawaambia atacheza tu,
Baada ya kufunga gori alilidedicate kwa baba yake anaonekana mwenye uchungu aise...
1.Harry Kane. Thamani ya Kane inatajwa kukaribia thamani ya Neymar kwa sasa na Tot wanataka zaidi ya £170m kama unamtaka Kane, tayari Florentino Perez amekanusha kumhitaji Kane lakini ni wazi kwa...
Kocha Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog amesema kuwa kitendo cha kiungo wake, Jonas Mkude cha kuonyesha kiwango cha juu katika mechi Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, sasa anaweza kumuanzisha...
Biashara hii inakuja kwa Kasi sana Nchini ukiangalia kuna makampuni zaidi ya Kumi yanafanya Michezo ya Bahati nasibu....
Sasa kama Unabet hakikisha usiwe na Tamaa maana Kampuni yenyewe haina...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, wadau wenzangu wa thé blues inaonekana msimu huu kwetu ni mgumu, kuanzia epl na hâta uefa, ukiachilia mbali kuumizwa na matokeo kama shabiki, vilevile kuumizwa na...
Inawezekana Msemaji wa Simba, Haji Manara akaingia matatizoni na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limetaka ufafanuzi kutokana na kauli zake dhidi ya waamuzi waliochezesha mechi ya Yanga...
Anawajengea hofu wachezaji kuwa waamuzi wanawaonea. Madhara yake atayaona hivi punde. Wachezaji wa Simba wana hofu nyingi zinazosumbua akili zao kama vile hofu ya kushindwa kuipokonya Yanga...
Nimefuatilia washindi karibu wote ni kampuni ya tigo tu.je kwanini voda na makampuni wengine hawashindi?
===================================================
Kinachonishangaza kwenye BIKO ni hivi...
Nahodha wa Tafa Stars, Mbwana Samatta ametajwa kuwa miongoni mwa wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora Afrika na Shirikisho la CAF.
Mshindi wa tuzo hizi ataamuliwa na makocha wa wakuu...
Naanza kwa kuwasalimu sana ndugu zangu wa hapa jf,
Hasa wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu,
Mimi umri umekwenda KIDOGO si kijana , lakin mafuatilia mpira wa miguu,
Leo nimeona bora tuanzishe...