Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MCHEZAJI kiraka wa Simba, Erasto Nyoni ametangazwa kuwa mchezaji bora wa timu hiyo wa wa mwezi Oktoba. Hiyo ni baada ya kuonyesha kiwango kikubwa kwenye mechi nne za Ligi Kuu Bara ambacho...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara alifanya mkutano na waandi wa habari za michezo, katika mkutano huo Manara alitumia muda mwingi kulalamikia baadhi ya maamuzi yaliyofanywa na waamuzi...
7 Reactions
18 Replies
10K Views
Atajwa kuwa ni nyota wa mchezo
8 Reactions
136 Replies
35K Views
Msemaji wa Simba SC Bwana Haji Manara anaongea na waandishi wa habari. Katika maisha yangu sijawahi kuona mechi ya Yanga na Simba yenye mashabiki wachache kama ya juzi. Kumekuwa na ishu ya...
3 Reactions
48 Replies
8K Views
Ratiba ya hatua za awali za michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imetoka hii leo. Mshindi wa kombe hilo la FA hupata nafasi ya kuiwakilisha nchi katika mashindano ya...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Wale mezan fc, wa kupakatwa fc, fifa fc wamedai wanataka kukata rufaa kwa gol la kusawazisha wa chirwa et aliotea Mezan fc mna bahat sana pambanen na hali zenu hakuna...
14 Reactions
62 Replies
9K Views
Ndugu yangu Mo Dewji stuka mbona pesa zako zinatumika hovyo na klabu ya simba nafahamu fika utakuwa unaorodhesha gharama na pesa unazotumia klabuni hapo hata hapo baadae wakikengeuka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Referee. Nadhani kama kuna mwaka ambao Tanzania imewahi kupata Mwamuzi / Refarii bora na anayeijua vyema Kazi yake hasa awapo Uwanjani basi ni huyu Kijana Eli Sasii. Ubora na umakini wake ndiyo...
25 Reactions
36 Replies
7K Views
Wakati yanga wakiwa kwenye mpango wa kukarabati uwanja wao wa kaunda ghafla nzi katua kwenye kidonda
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Kama ada, karibuni katika uzi huu tukumbushane kuhusu kikosi hiki cha Timu ya Taifa ya Italy iliyotwaa kombe la Dunia mwaka 2006 kwa kumfunga hasimu wake Ufaransa kwa matuta, Unakumbuka nini na...
5 Reactions
39 Replies
9K Views
Habarini! Mimi ni mshabiki wa Simba Sports Club, ningependa kwemda moja kwa moja kwenye mada kuwa uongozi wa Simba kwa kweli walikurupuka kumsajili Niyonzima. Mpaka sasa kwa kweli sijaona mpira...
7 Reactions
43 Replies
7K Views
Wapenzi na Mashabiki wa Simba SC tuwe tunajitokeza kwa wingi kwenye mitandao ya Kijamii hasa kwenye kurasa za msemaji wetu wa klabu Hadija Manara. Mara baada ya kuisha kwa mtanange wa leo, na...
1 Reactions
50 Replies
9K Views
Personal information Full name Diego Armando Maradona[note 1] Date of birth 30 October 1960 (age 56) Place of birth Lanús, Buenos Aires, Argentina Playing position Attacking midfielder Second...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari Wakuu! Leo ndio ile siku ambapo watani wa jadi wa muda mrefu wa ligi kuu ya Tanzania bara (Vodacom Primier League), Simba SC na Yanga SC wanakutana. Tiketi za mchezo wa Yanga SC na...
13 Reactions
448 Replies
64K Views
Hii tunaweza kuiita ngoma droo japo mmoja alikalishwa chini bila kutarajia
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Goli makini kabisa lililofungwa na mchezaji Shiza Kichuya mchezaji wa Simba SC limechorewa mchoro kisayansi na wataalam. Goli hilo la kusawazisha dhidi ya Yanga katika mechi ya siku ya jumamosi...
9 Reactions
127 Replies
44K Views
Ni kuhusu Ibrahim Ajibu.....wengi humwita [SonOfGod]... Huyu dogo amekuwa akifanya vyema sana tangu alipojiunga na Mabingwa watetezi, Mabingwa wa kihistoria wa mpira wa miguu Tanzania Bara...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
Wale wapenzi wa ngumi jiwe, yule mwanamasumbwi Mwingereza mwenye asili ya Nigeria kiboko ya wazungu mzee wa knock out na uppercut za hatari muda wowote kuanzia saa mbili usiku atakuwa ulingoni...
2 Reactions
77 Replies
14K Views
1. "Nimeifunga Yanga mara mbili na kutoka sare mechi moja katika mechi nilizocheza nao nikiwa kocha wa Simba, kwahiyo najivunia rekodi hiyo ambayo naamini itanibeba na kupata matokeo mazuri katika...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…