Leo tarehe 21-10-2017 kutakuwa na mechi (boxer) halima ambaye atapigana na mwanne usiku wa leo
Maeneo
Msasani jijini Dar es Salaam
Kwa wale wapenzi wa ngumi za ulingoni mnakaribiahwa
Pedro Martinez Losa amejiuzulu wadhfa wake wa klabu ya Arsenal upande wa wanawake baada ya miaka mitatu katika uongozi wa soka ya ligi ya wanawake.
Losa ambaye nia raia wa Uhispania, aliyewasili...
Baada ya kutolewa tuzo ya mchezaji bora duniani
Leo nikiwa naperuzi document yenye matokeo ya kura zilizopigwa na macaptain wa timu za taifa kuna baadhi ya ma captain walinishangaza
ipo hivi
Hugo...
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar
Kikosi cha Simba kimeondoka Visiwani Zanzibar leo asubuhi kwa ndege kurejea jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mwisho ya mechi yao ya kesho ligi kuu...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Watalam wa uloz kutoka asha fc usiku wa leo wamehaha kufukia kichwa cha mbuz bila mafanikio
Walinz wanaolinda uwanaja wa...
Siku simba waliponipa elimu hii
Bahati nzuri huyu jamaa ambaye ni mwandishi wa habari za michezo ni mwanachama hai wa simba ,binafsi sikuwahi kufahamu kuwa ni mdau wa simba kwani hata mashabiki...
Jumamosi Man Utd anacheza na Spurs pale Old Trafford, lakini mpaka sasa sijasikia kuwa Man Utd au Spurs wameenda kuweka kambi kujiandaa na mechi hii.
Wachezaji wanakutana kawaida mazoezini...
Rashid Mahadhi amefariki dunia ikiwa ni muda mfupi baada ya timu yake ya Abajalo kupoteza mechi dhidi ya Changanyikeni
Mechi hiyo ilichezwa kwenye Uwanja wa Tandika jijini Dar es Salaam na...
Makamu Mwenyekiti wa TFF, Michael Wambura anatuhumiwa kufaudu USD 45,0000, zilizotolewa kwa TFF (FAT) ya wakati ule na Marehemu Enock Maganga ili kunisaidia FAT katika maandalizi ya Challenge...
Naliwakilisha Taifa kwenye shindano la kuizunguka dunia kwaajili ya kujifunza mambo yakimaendeleo na mazingira. mshindi kutoka bara la Africa ataungana na wenzie kwa miezi 5 kuizunguka dunia. nipo...
NDALA SC
Kwa taarifa za uhakika nilizozipata toka Mkoani Morogoro [ambazo hazina chembe chembe za mashaka], ambapo “ndugu zetu” wameweka kambi ni kua.. hadi kufikia mda huu, ni yapata siku ya...
KIUNGO Thabani Kamusoko na washambuliaji, Mzimbabwe mwenzake, Donald Ngoma na Mrundi Amissi Tambwe wanatarajiwa kuingia kambini leo usiku kuungana na wachezaji wenzao wa Yanga, kujiandaa na mchezo...
Jumamosi October 28, 2017 kitawaka pale uwanja wa Uhuru utakapochezwa mchezo wa ligi kuu Tanzania Yanga vs Simba mzunguko wa nane wa ligi hiyo.
kabla ya mechi hiyo kupigwa, kuna takwimu muhimu za...
Willian alifunga bao muhimu la pili huku Chelsea wakisonga mbele na kuingia robo fainali lakini walishangazwa na wageni wao.
Chelsea ilikuwa imeitawala Everton kwa urahisi katika kipindi cha...