MSHAMBULIAJI wa Simba, John Raphael Bocco yuko fiti kwa mchezo na mahasimu wa jadi, Yanga Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam baada ya kupona maumivu ya mguu.
Mshambuliaji wa zamani wa Azam...
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amesema Serikali inatambua haki ya vyombo vya habari katika kukosoa, kujadili na kuchambua masuala mbalimbali...
Nilishangaa sana nilipoenda dukani Kkoo na kuambiwa
Bei ya jezi ya Ajibu 35000/
Bei ya jezi ya Niyonzima 12000/
Kiukweli nilishangaa sana nikaamua Kwenda Karume na Ndio nikakutana na bei hizi...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe, yupo kambini na kikosi cha timu hiyo ku- jiandaa na mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Uhuru na amesema kama mambo yataenda sawa na...
Ben Kakolanyi
Ramazan Kessy
Haji Mwinyi
Patrick ( Pato ) Ngonyani
Nadir Haroub ( Nahodha )
Juma Makapu
Geofrey Mwashiuya
Raphael Daud
Emanuel Martin
Donald Ngoma
Amis Tambwe
Nina uhakika kabisa...
Mchezaji wa Simba Emanuel Okwi amefunga magoli nane (8) hadi sasa katika mechi sita za ligi alizocheza msimu huu, magoli mengi zaidi ya timu nzima ya Yanga ambayo imekuwa na magoli sita tu...
Waafrika watatu wameisaidia klabu ya leicester city kuichapa bakora 3 leeds united dhidi ya bakora yao 1.wote wamepiga bakora moja moja.
Michuano ya League Cup
Hongereni
Cristiano Ronaldo Named Best Player in the World by FIFA 2017
The year-long debate of Messi or Ronaldo finally came to an end last night, at least momentarily, when FIFA awarded Cristiano with...
Aman iwe nanyi wapendwa
Yule mtoto serenget boy ameitwa na kocha mayanja kujiandaa na mchezo wa kuivaa benin utakaopigwa tarehe 11
Kijana huyo mwenye miaka 17 sizan kama atafurukuta mbele ya...
Naamini watanzania wengi wanajaribu kuota kupata fedha za BIKO. Kwa kifupi mchezo huo hauna uwazi kama watanzania wanavyofikiri. Wakati wa kuchezwa ni watu wachache tu wanakuwepo ambao wanaweza...
Je ni kwamba hakuna wenye kiwango hicho, au ligi tu mbovu??
Maana duhh mle wamejaa Barcelona tu kama tisa hivi,, epl inatakiwa ijipange kwa kweli... ndo tufunge mdomo sasa, mara sijui hazard...
Aisee huyu jamaa ana speed ya ajabu natamani nimjue mmiliki wake ,pamoja na nguvu kubwa za makampuni nguli kama Meridian na sportpesa ila BiKo kaibuka kinara wa ulipaji kodi kwa makampuni ya...
KOCHA Jackson Mayanja ambaye amejiengua kwenye kikosi cha timu ya Simba kwasababu zisizojulikana, amesema kwamba pamoja na mwenendo wa timu hiyo katika Ligi Kuu bara lakini nafasi ya Yanga kutetea...
Leo,nchini Uingereza,kutatolewa tuzo kwa Mwanasoka bora Duniani. Wagombea watatu waliosalia ni Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Neymar.
Kutatolewa pia tuzo za mwanasoka bora wa kike, kocha...
KOCHA wa Njombe Mji, Mrage Kabange anashangazwa na Yanga wanaomuita straika wa Simba, Emmanuel Okwi kuwa ni mhenga wakimaanisha umri umemtupa na amechuja.
“Wakati mwingine ni maneno ya mashabiki...
Nimetoka kuangalia game ya Stand na Yanga na Stand kuchapwa bakora 4 mbili ya hizo akipiga Ibrahim Ajib
Tukiacha unanzi Ajib ni mchezaji mzuri anakila kitu amekamilika anafunga,anatoa...