Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa FIFA 2017 pamoja na kuchaguliwa kwenye kikosi bora cha wanaume dunia FIFPRO XI 2017 Simulizi zaidi Ronaldo ikichukua tuzoo Please...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa ni kocha gani anafundisha nje ya Tanzania?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Huu ni uzi wako wewe mwanamichezo. Mambo yote yanayotokea kuelekea Mtanange wa kukata na shoka wa Kariakoo Derby utayapata hapa! Taarifa zote za kambi, maandalizi ya mchezo, fitna na vituko kabla...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je timu yako imetokea mwaka gani? Mimi 1999,1968 na 2008
5 Reactions
16 Replies
42K Views
Haya weee,niseme nini mie! Imetokea hivyo tena utafanyaje bana.Meseyside kapigwa nne na Goodson park mtu kala mkono.Kazi imekuwa ngumu safari hii.Hao Manchester angalau hata kama mmoja alipigwa na...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Huyu jamaa ni fundi wa mpira sana, ana ujuzi wote wa kucheza namba 10 yaani nyuma ya Straika. Ana piga pasi za mwisho, mwepesi, ananyumbulika na ni mtulivu hana papara na pia anarekodi nzuri ya...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya Stand United na Simba kuvaa jezi zinazolalamikiwa kufanana wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa jana Jumapili, October 1, 2017 kwenye uwanja wa Kambarage...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
0 Reactions
1 Replies
619 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe, amerejea nchini na kuvunja ukimya akianza na suala la nafasi ya Kocha Mkuu wa Simba inayoshikiliwa na raia wa Cameron, Joseph...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Simba na Yanga ni timu zenye upinzani mkubwa. Lakini Maelezo haya yanaweza kukuonyesha ni kwa namna gani hali zao halisi zilivyo nje ya uwanja. Yanga haina app, wala tovuti yake binafsi.Simba...
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Nilifuatilia mechi ya jana Simba dhidi ya Mtibwa na ninawashauri Klabu ya Simba kama ifuatavyo:- Licha ya kucheza vizuri lakini bado kuna tatizo na mlinda mlango. Manula siyo maakini hata kidogo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kocha msaidizi wa Simba Mganda Jackson Mayanja amekanusha taarifa za kutimuliwa ambazo zinasambaa nchini na kudai kuwa si za kweli kwani hana taarifa yoyote rasmi kutoka kwa uongozi. Mayanja...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Match Reports 13:30 FT 1 Everton 2 : 5 Arsenal 16:00 FT Tottenham 4 : 1 Liverpool 11:00 FT Villarreal 4 : 0 Las Palmas 15:15 FT Celta Vigo 0 : 1 Atletico Madrid 17:30 FT Leganes 1 : 0 Athletic...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
ENGLAND: Uongozi wa klabu ya soka ya Leicester City umemfukuza kazi kocha wa timu hiyo, Craig Shakespeare. Craig Shakespeare emefungashiwa virago ikiwa ni miezi 4 tangu aliposaini mkataba wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu Kutakuwa na shindano la fifa 17 kwenye ps3 na ps4 siku ya jumamosi Oct 28,2017 pale NEW MSASANI CLUB, Shindano litaanzia kwenye hatua ya makundi na kisha mtoano, shindano litaanza saa...
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Klabu ya Al Ahly imeifurumusha mabao 6-2 klabu ya Etoil du sahel katika nusu fainali na hivyo kutinga fainali ya klabu bingwa Afrika. Hivyo hivyo klabu ya wydad Casablanca iliifurumusha klabu ya...
0 Reactions
3 Replies
676 Views
Nimajibu ya mmoja wa washindi wa BIKO niliyopata kwa JINA namuifadhi, kwamba ili ushinde unabidi ucheze kwa kiasi kikubwa , yeye alikuwa anacheza mpaka millioni 4 kwanzia Jumapili hadi Jumatano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inatokea mara chache sana katika maisha ya mwanadamu, Kiungo mkabaji wa Juventus na timu ya taifa ya Ujerumani, Sami Khedira leo ametupia magoli matatu ( hat trick ) wakati Juventus ikiua 6-2. Ni...
3 Reactions
4 Replies
972 Views
Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ? Haiwezekani timu moja kila ikifungwa dk za majeruhi ziwe kibao ! Hapa kuna walakini .
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo nyasi za uwanja wa Kambarage utazipokea timu za Stand na Yanga. ---- DAKIKA 4 ZA NYONGEZA Dk 90, Stand wanapata mpira nje ya eneo la 18, mpigaji anapaisha...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…