Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari nilizozipata jana jioni ni kwamba Yanga SC kikosi cha kwanza ilicheza kikosi cha kwanza na kutoka sare na Rhino ya Tabora Huu ni mwendelezo wa Yanga kukamatiwa chini na timu za ligi daraja...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Naweza sema sijawahi vutiwa na michezo ya namna hii ila baada ya watu wengi kujisifu kuwa huwa wanashinda, ikanibidi nami nijaribu bahati yangu! Cha kushangaza nimebashiri michezo karibia mi5...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Wana bodi, nimekuwa nikimfuatilia mchezaji huyu, utemaji wake wa mate umejaa dharau iliyopindukia. Anavyotoka uwanjani ana kseaida ya kutema udenda kabisa kama toto dogo lenye madenda na...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa ufupi tu Nisiwachoshe, nimemsikia mtangazaji wa Azam TV akitoa ushuhuda alipokua akitangaza mpira kati ya Stand United Vs Yanga kwamba Ibrahim Ajib katumwa na Kashushwa na Mungu ili aje...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna kitu naonaga kabisa hakija kaa sawa nadhani wengi wetu tumeiona kwenye kutangaza habari za mpira. Utakuta mtangazaji anatangaza timu fulani imeshinda goli 4 "sijui goli la nne lilifungwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili ni jicho la mwewe hivyo naomba mniamini kuwa Mourinho leo atenda kupack bus hivyo timu haitacheza mpira wowote zaidi ya kuzuia hivyo matokeo ya mwisho yatakuwa Huddersfield 0 VS Man...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari iliyonifikia hivi punde kutoka katika chanzo changu kikubwa kabisa na ninachokiamini ndani ya Klabu ya Yanga kimenitaarifu kwamba kuna taarifa ambayo Wadau wa Michezo tunafichwa ila ukweli...
7 Reactions
46 Replies
7K Views
Habari zilizozagaa mtaani ni kuwa wadau wa Yanga wameipokea klabu ya Njombe Mji hapa mjini na kuilipia hotel katika hotel ya AVAN HOTEL SINZA. Habari za ndani kabisa zimedai kuwa Yebo wamelipa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wale magwiji na wachambuzi wa elimu ya masuala ya ufundi dimbani,naomba mnijuze juu ya suala hili ambalo goal keeper wa yanga huenda kwenye nguzo za goli hushika na kuchezesha miguu pamoja na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii ni baada ya timu anayoifundisha ya Westharm kunyukwa bao 3 kavu na Brighton & Hove Albion . Uvumilivu una mwisho , si rahisi tena kwa uongozi wa wagonga nyundo hao wa London kumvumilia ...
0 Reactions
6 Replies
849 Views
PELE : goal alilofunga Giroud halita fungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa miaka 17.. DIEGO COSTA : Baada ya kulitazama tu lile goal la...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Aliyekuwa kocha msaidizi wa simba Jackson mayanja ,amesema iwapo uongozi wa simba utaendelea kuingilia kazi za benchi la ufundi,wasijeshangaa yanga ikiendelea kupeta msimu huu kwa kutwaa ubingwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi karibun gwiji wa mpira wa miguu wa miaka ya nyuma aliebuka na least yake ya top 4 ya lig kuu uingreza kabka ya msim kuanza, ametabir kua man u ndio atakaebeba ubingwa mcm huu wa 2017/18...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mrithi wa aliyekuwa kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja anatarajiwa kutua leo jijini Dar es Salaam. Djuma Masudi ndiye anayekuja kuchukua nafasi yake na huenda akaiwahi mechi dhidi ya Yanga...
3 Reactions
38 Replies
12K Views
Akizungumza kwa masikitiko makubwa kabisa katika ' Segment ' ya Michezo Clouds tv Kipindi cha 360 Bondia anayekuja kwa Kasi kwa sasa nchini Tanzania Dulla Mbabe ametema ' cheche ' na kumtaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Pole na kazi mheshimiwa naibu waziri mwenye dhamana ya michezo na masuala ya utamaduni. Dada Juliana Shonza nimefanikiwa kuiona video ndogo yenye kuwaongelea mawaziri na manaibu ambao ni vijana...
0 Reactions
3 Replies
680 Views
Kwa wale wanaocheza game kama hilo hapo juu naomba mnielekeze namna ya kupata coin nyingi kwa haraka manake nimecheza mechi nyingi lakin coin bado kiduchuuu[emoji102] Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Yani kusingekuwaga na ulinzi uwanjani sijui ingekuwaje..
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Masahihisho kwenye idadi za michezo Niyonzima amecheza 5 na sio 4. Wapenzi wa vpl usajili wa Niyo na Ajibu ndio ulikuwa gumzo msimu huu lakini inaonyesha mpaka sasa hivi ajibu anafanya vizuri...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wadau kwema?? Kuna tetesi kua Kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amethibitisha kuachana na klabu hiyo leo, kuna mwenye any clue kuhusu hili?? Kama ni kweli nadhani ni bora hata angeondoka...
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…