Wasalaam
Kama kawaida tunafahamu humu jf kuna watu wanakuwa na access ya kuangalia mechi mubashara au kupitia tv.
Naomba utupie lolote unaloliona kiwanjani ili na sisi tusiokuwa karibu na...
MOST SUCCESSFUL CLUBS IN EUROPE_
BBCSPORTS.
*10. Atletico Madrid- 28 trophies*[emoji471][emoji95]
Atletico Madrid is based in Spanish Capital Madrid. The club has been in the shadow of well...
Kocha Arsene Wenger wa Arsenal, amesema kama FC Barcelona watakuwa ‘siriaz’ na uamuzi wao wa kuhama La Liga na kucheza Premier League litakuwa jambo zuri lakini wataongeza ugumu kwa kiasi kikubwa...
Kikosi cha Simba kimewasili jijini Dar es Salaam baada ya mechi za mikoani.
Wachezaji wa Simba wamepewa mapumziko ya siku tatu kabla ya kurejea kazini.
Simba ilikuwa Kanda ya Ziwa kucheza mechi...
Mwekezaji wa pili kwa ukubwa katika klabu ya Arsenal, Alisher Usmanov, anasema kuwa hajafanya mazungumzo yoyote na mwenye hisa mkuu wa klabu hiyo Stan Kroenke kuhusu kumuuzia kiwango chake cha...
Jana michuano ya kufudhu kwa faiinali za kombe la dunia zitakazopigwa nchini Urusi ziliendelea, katika bara la America Kusini michezo mbali mbali ilipigwa lakini vinara wa bara hilo Brazil...
Nimejikuta nacheka baada ya kukumbuka kaulu ya aliyekua kocha wa Taifa Stars ,Maximo,baada ya kuifunga Burkina faso kwamba sababu Burkina Faso waliifunga Senegal ambayo ilitufunga 4-0,na ambayo...
Paris, Ufaransa.Wakati UEFA ikiwahemea shingoni kutokana na kuvunja kanuni za fedha (FFP), Paris Saint-Germain imeripotiwa kuwa wapo tayari kuuza mshambuliaji wake Edinson Cavani ili...
Tokea aliyekuwa rais wa TFF Malinzi kuondoshwa madarakani timu za yanga na kagera wameanza ligi vibaya ni dhahiri yanga na kagera wanafanya vibaya kwenye ligi na ni jambo la kushangaza.
Imekuwa...
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Yanga Donald Ngoma ataendelea kuwa nje ya uwanja kwa muda usiojulikana baada ya kuumia kwenye mechi ya ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar na jana asubuhi Oktoba 2...
Habari za wakati wadau wa michezo. Huwa ninaona kuna mechi mbalimbali kati ya Wabunge na wasanii, walimu na wanafunzi nk. Ila naona itakua vyema kukiwepo na Mechi kati ya BAVICHA na UVCCM hii...
Fifa imekata ombi la FA la kutaka idhini ya mchezaji wa kiungo cha kati Adrien Silva kujiunga na Leicester City kutoka Sporting Lisbon.
Leicester iliwasilisha stakabadhi za kuhama kwa Silva kwa...
Hivi viongozi wa Yanga wana nini cha ziada wanachokihitaji kutoka kwa huyu jamaa???
Haiwezekani mtu tangu akabidhiwe timu hakuna siku hata moja timu ikafanya vizuri ,kila kukicha afadhali ya...
Mimi ni mmoja kati ya mashabiki lia lia wa man u na young africa,kwa yanga kila siku zinavyosonga timu inazidi kuwa mbovu kuliko jana.Sasa kwa wale mashabiki wenzangu wa yanga na man u dawa ni...
Huuo mpira wa bongo sio poa ni vyema TFF ihamishiwe TAMISEMI rais ateue mwenyewe maana kila anayeteuliwa madudu kuliko ya mwanzo
Anaandika shaffih Dauda;
Goodmorning!Nimefuatilia kwenye vyanzo...
Huyo kocha 'mpya' wa timu yetu(Yanga) ni bomu,hawezi kuwa anatuweka roho juu juu hivi sisi mashabiki.
Sijui kwanini Viongozi walimtimua Hans.Watuondolee mtu wao sisi,arudi mtu wetu...
Nyota wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Ally Samatta anayekipiga kwenye klabu ya KRC Genk ya Ubeligji anatarajiwa kutua nchini alfajiri ya kesho tayari kwa kujiunga na kambi ya Taifa Stars.
Afisa...
SIMBA SC
Full name=Simba Sports Club.
Nickname(s)=Taifa Kubwa,Wekundu wa Msimbazi.
Founded=1936.
Ground=National Stadium,Dar-Tz.
Chairman=Evance E. Aveva.
Coach=Joseph Omog.
Team Manager=Musa...
Huyu Omog mnaembeza na kumuona sio kocha nzr.. Mie nawashauri viongozi wangu wa Yanga, waongee na Omog tupate huduma yake,...
Maana ninachokiona ni bora ya Omog kuliko kocha wetu Lwandamina...