Yanga sc vs Mtibwa sugar
Singida Utd vs azam fc
Mbao fc vs Tanzania prison
Mwadui vs Mbeya city
Ndanda fc vs Lipuli
Ruvu shooting vs Njombe mji
Maji Maji vs kagera sugar
Tutakuwa pamoja...
Mshambuliaji wa ManCity Sergio Aguero ajeruhiwa katika ajali
Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero amejeruhiwa katika ajali ya barabarani mjini Amsterdam, saa chache baada ya kuhudhuria...
Vinara wa Ligi Kuu Bara, Mtibwa Sugar imepania kuiduwaza Yanga kesho kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Mtibwa inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 10, sawa na Azam wakitofautiana mabao ya...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Klabu ya Yanga kupitia Msemaji wake Dismass Ten imefunguka na kuomba msaada kwa wadau mbalimbali wa soka nchini kuwasaidia vifusi vya mchanga ili...
KOCHA wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, George Lwandamina, amesema kuwa mechi dhidi ya Mtibwa Sugar itakayofanyika kesho kwenye Uwanja wa Uhuru "si ndogo" kama ambavyo baadhi...
Kitendo cha mchezaji Obren Chirwa kumtandika ngumi za mwana ukome mwandishi mbeya mbeya iwe funzo kwa waandishi wengine.
Jamani waandishi hata kama umbeya not to that extent mtakuja kuumia bure...
Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imemtimua Kocha wake Carlo Ancelotti raia wa Italia kufuatia mwenendo mbaya wa hivi karibuni wa klabu hiyo.
Kocha huyo wa mabingwa watetezi wa Bundesliga...
Wekundu wa msimbazi wakiwa kwa mama ntilie hiyo ni baada ya kucheza meach yao ya ndondo na Mirambo ya Tabora.
Jamani njaa hizi mbaya mwisho wa siku wakiwa full mziki chini ya kiungo wao maridadi...
Kuna taarifa kwamba mmoja wa Wachezaji tegemeo kabisa wa Klabu ya Yanga hivi sasa yupo Rumande Kituo cha Polisi kwa kosa la Kumpiga Mwandishi wa Habari kwa kile anachodai kwamba huyo Mwandishi...
Napata shida kuelewa kwa nini mchezaji ajiite jina la mchezaji mwingine.Kwa nini na wewe usitengeneze jina lako kama unajiami.Mfano Muhamed Hussein aka Tshabalala akiuzwa South bado atajiita hivyo...
Dar es Salaam. Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na wahariri wa habari za michezo nchini kimelaani kitendo cha kushambuliwa kwa mwanahabari John Dande, zinazodaiwa kufanywa...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe jana September 28,2017 alitembelea uwanja wa taifa kufanya ukaguzi wa kiwanja mabacho kilikuwa kinafanyiwa matengenezo na...
Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi, iliyoketi hivi karibuni imepitia taarifa mbalimbali ya michezo iliyofanyika ya Ligi Kuu ya Vodacom na Ligi Daraja la Kwanza na kufikia uamuzi...
Mashabiki wa ngumi wamemchachamalia Floyd Mayweather wakitaka apande ulingoni kupambana na Gennady Gennadyevich Golovkin(GGG).
Kwa upande wa Floyd amedai hayuko tayari kurudi tena ulingoni na...
Kiungo wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima, amesema kuwa watahakikisha wanafanya kila liwezekanalo ili kuondoka na alama tatu kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
SIMBA YAKANUSHA UVUMI WA KUMFUKUZA KOCHA OMOG
Klabu ya Simba haijatoa taarifa yeyote kuhusiana na mabadiliko yanayoenezwa kwenye mitandao ya kijamii na watu wasioitakia mema klabu yetu...