Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano umeanza kutuonyesha Watanzania kuwa tunao uwezo wa kujitegemea Kwa kutumia raslimali zetu wenyewe. Katika siku za karibuni Mfadhili wa Klabu yetu ya Yanga...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Omog, aliliambia Nipashe jana kuwa wamefanyia kazi mapungufu waliyoyaona kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mbao FC na wamejipanga kuhakikisha wanaondoka Shinyanga na pointi tatu. "Matokeo ya mchezo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ya mchana, Jana usiku na mimi nilikuwa ni miungoni mwa waliokuwa wanatazama Droo ya pili ya Tatu Mzuka kupitia TV 1. Tofauti na Droo ya kwanza ambayo baada mshindi wa jumla kupatikana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Just one word. Lwandamila hear me, you can not manage Yanga nor lead it to anywhere. We, fans are keeping away from you and from attending the matches anywhere you have a match. Your work rate is...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu hii ligi yetu ni bora liende, nimepata taarifa Mechi ya Mbao vs Simba iliyokuwa ipigwe Jumamosi hii katika dimba la CCM Kirumba imerudishwa nyuma na itapigwa Alhamisi ili kupisha tamasha la...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Ahyaaa walee wazeee wenzangu wa mikekaa ndo siku zetu hizi za kumtwanga muhindii... Dondosha maon yaqo hapaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Benki ya KCB Tanzania leo imetangaza rasmi udhamini mwenza wa ligi ya soka ya TFF Vodacom 2017/18 wenye thamani ya shilingi za kitanzania 325,000,000. Mkataba wa makubaliano hayo ulisainiwa rasmi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kusua sua msimu uliopita hadi kukamata nafasi ya 6 kwenye Ligi ya EPL na kubahatisha kuingia kwenye michuano mikubwa ya Champions League kwa tiketi ya Europa,msimu huu kocha Jose Mourinho...
1 Reactions
3 Replies
770 Views
Kuna kitu kinaanza kunipa mashaka na wasiwasi ligi ya mwaka huu. Inasemwa Simba mwaka huu ni wao na pesa wanayo na inaoneshwa Yanga huu si mwaka wao na hawana pesa. Huenda ikawa sawa lakini isije...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo nyasi za uwanja wa Uhuru zitawaka moto.. na hii ni pale Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba S.C atakapopambana na Toto Africa. Uzuri wa gemu ya leo ni kua Simba S.C anaenda kuua...
5 Reactions
157 Replies
16K Views
Watanzania na Wanasimba toka aajiriwe kuinoa Simba, kocha Omog ameonesha uwezo mdogo sana. Hana mbinu mpya wala kuwazidi Kibadeni na Julio. Ni wa kawaida sana. Labda kwa kuwa haongei lugha ya...
6 Reactions
58 Replies
10K Views
Simba SC wameanza Ligi rasmi, yale matokeo dhidi ya kikosi cha pili cha JKT ruvu yasikupe taswira ya namna mechi zao zote za ligikuu zinaenda kuwa. Pia achana na yale matokeo ya pale kapetini...
9 Reactions
85 Replies
7K Views
Paulo dybala amesema "MESSI amefanya makubwa katika historia ya soka". Messi ni king na ataendelea kuwa king wa soka,,, ndiomaana hata mchawi mdogo wa Kiargentina a.k.a Dybala amekubali huwezi...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Simba sc ndio team pekee ambayo kikosi chake ni cha bei ghali ukilinganisha na club zote zinazoshiriki VPL msimu huu, lkn pamoja na kuwa kikosi hicho ni ghali, sio kweli kwamba kina ubora zaidi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Dakika ya 23 yanga 0 Ndanda 0 ila yanga anakimbizwa kweli
0 Reactions
84 Replies
12K Views
Viwanja Vingi vya mpira wa miguu vinamilikiwa na Chama cha Mapinduzi au Serikali ila ubora wa Viwanja hivyo haurishi havifai kwa kifup. Tukitaka ligi yetu iwe na mvuto cha kwanza ni kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Kiungo mahiri wa wekundu Msimbazi, Shiza Ramadhani Kichuya amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mechi iliyopigwa jana dhidi ya Mbao FC mchezo uliyopigwa katika viunga vya CCM Kirumba uliopo Jijini...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mashabiki wa soka jijini Mwanza wamefurika kupanga foleni kwa jili ya kuingia uwanjani ili kuishuhudia mechi ya Simba na Mbao FC inayotarajiwa kupigwa leo kwenye dimba la CCM Kirumba jijini hapa...
6 Reactions
91 Replies
17K Views
Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja. Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Beki wa Azam Yakubu Mohammed amemsifu mshambuliaji John Bocco na kumtakia maisha mema katika klabu yake ya Simba. Jana Bocco alifunga bao la kideoni katika mchezo wa Ligi Kuu ambao Simba...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…