YANGA WABABE MARA NYINGI, SIMBA WAZEE WA DOZI NZITO
(SOURCE: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 9:13 PM BREAKING NEWS , HABARI ZA MICHEZO)
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
WAKATI watani wa jadi...
Ni shabiki maarufu wa mabingwa wa historia VPL Yanga
Alifariki hivi karibuni ukweli Ali alikuwa kivutio kikubwa mechi kama ya leo....hata mfungwe tatu anahamasisha shangilien kama ameona goli la...
Najaribu kuulizia tu,inasemekana simba ina wanachama takribani 5000 sasa katika mkutano wa leo waliohudhuria ni 1200,je mpaka hapo akidi ilitimia?kama haijatimia maamuzi ya leo ni halali?
Sent...
The Cleveland Cavaliers and Boston Celtics have agreed to a trade that will send Kyrie Irving to Boston in exchange for Isaiah Thomas. Cleveland will also receive Jae Crowder , Ante Zizic and...
Habari wakuu,, mim ni mdau mkubwa wa Dstv nina miaka sita natumia,miaka iliopita Dstv walikuwa wanaonyesha lig mbalimbali,sasa msimu nimelipa kifurushi cha 122,500. Hivi ni kwel Dstv haionyeshi...
Kesho siku ya Jumatano tarehe 23 mwezi Agosti mwaka 2017 kutakuwa na majaribio ya Makombora mikubwa mitatu ambayo itatokea jijini Dar es Salaam ila madhara yake yatatapakaa nchi nzima kutokana na...
Habari za jioni wadau.
Naipenda Simba SC na kwa yaliyojiri wiki hii, nitaendelea kuipenda zaidi na zaidi.
Kwa wafuatiliaji wa michezo, hususan soka, hakuna asiyejua ukongwe wa klabu ya Simba...
Mkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
Mbali na taarifa za kuondolewa kwenye bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba na kusimamishwa uanachama wa klabu hiyo huku akipewa sharti la kufuta kesi aliyofungua mahakamani, Mzee Hamis Kilomoni...
Akiongea na Kipindi cha 360 Saturday cha clouds Tv Afisa habari wa Simba Haji Manara amesema Licha ya Simba kuwa ndio taasisi kubwa na maarufu kwa sasa Tanzania nzima kuliko taasisi yoyote...
Jaman sio ufahali kuhama timu katika kipindi kigumu ni kwann tusiwe wazalendo pindi timu inapofanya vby na hata vizur pia[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]...
Wakuu mnaelezeaje huu mpambano. Kwangu naona huyu mhairishi hataweza kunyoosha mkono kuomba mpambano uishe labda atokee mtu wa kumsaidia kurusha taulo ulingoni kumwokoa.
Sent using Jamii Forums...
Kichaa peke yake ndiye anaeweza kupoteza hela zake kununua jengo la Yanga au Simba kwenye mnada.
Majengo yenyewe kuna mtu kawapa tu, Maana hata hati original hazijulikani nani anazo.
JE WAJUA KWAMBA KATIKA MSIMU WA MWAKA 2016/2017 - WA LEAGUE YA JUPITER - BELGIUM, MBWANA SAMATA ALIIBUKA MFUNGAJI BORA AKIWA NA MAGOLI 11 KWA TIMU YAKE YA RACING GENK AKIFUATIWA NA Nikolaos...
Nashindwa kuelewa kazi za hawa wasemaji wa Vilabu vyetu vya Tanzania.
Msemaji anasema eti mchezaji X ni sawa na wachezaji 10 wa timu Y Sijawahi sikia msemaji wa PSG au Manchester United akisema...