July 19, 2017
Chelsea have confirmed they have agreed a deal to sign Alvaro Morata from Real Madrid.
The club have been searching for a new striker and, having missed out on Romelu Lukaku to...
Kama unakumbuka ilikuwa Aprili, mwaka huh pale Lionel Messi aliposhangilia baada ya kufunga bao mwishoni katika El Clasico kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid, akaamua kushangilia kwa...
Michuano ya Ndondo Cup msimu wa nne imehitimishwa leo Jumapili August 13, 2017 kwa mchezo wa fainali kati ya Goms United dhidi ya Misosi FC mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Kinesi.
Misosi FC...
Katika kuhakikisha wanafikia malengo yao, Klabu ya Simba SC imewataka wanachama wake kujitokeza kwa wingi katika mkutano mkuu wa mwaka utakaofanyika leo kuanzia saa 4:00 asubuhi kwenye Ukumbi wa...
Ninachokiona baada tu ya msimu wa Ligi kuanza, hizi kelele zinazotokana na Imani ya mashabiki wa Simba kuamini kwamba watafanya vizuri saaana msimu ujao, hali itakua tofauti sana..
Yaani kama ni...
soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo anaweza kukumbana na adhabu kali kutoka chama cha soka cha Hispania kwa kosa la kumsukuma refa Ricardo de Burgos...
Pamoja na kuambulia kura tatu katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais, Fredirick Mwakalebela amesema uchaguzi huo hakuwa huru na haki ila...
Hongera kwa ushindi mkubwa,tunaomba uanze na kufanya uhakiki wa umri wa Wachezaji
"Kipindi unacheza mpira ligi kuu mimi nipo shule ya msingi,leo nimemaliza Chuo lakini cha ajabu umeitwa kikosi cha...
Jana nilikuwa nyumbani naangalia fainali ya mpira mashindano amabayo hivi karibuni yamejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa vibweka na manjonjo ambayo huambatana na mashindano hayo!, ilikuwa ni...
Naomba nichukue fursa hii, kumpongeza ndugu Wales Karia kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi wetu.
Nina ka swali ka kizushi tu, hivi hizi sauti zenye mwangwi za wadau wa mpira, ndugu wajumbe hamkuziskia...
Muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya uraisi katika Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia alipewa nafasi ya kutoa neno kwa familia ya soka.
Karia ambaye aliibuka na...
Ile team maskini lakini jeuri yenye makazi yake kule dimbwini imeshusha kifaa yaani mtambo hatari na jana iliufanyia majaribio na kifaa hicho kikafunga goal lililotenganisha pande mbili yaani...
Yanga kwa mchezo mnaocheza hakika ligi ikianza msipobadilika basi mjiandae kupigika sana.Mnatuweka roho juu sana mashabiki wenu wa kiboya mnaocheza.
Mfano. Mtu kama okwi na akina cha ufupi...
Fainali ya jana ya 5000m ilinifurahisha sana na nimekuwa mfuatiliaji wa riadha toka mwaka 2000.
Mo Farah undisputed athlete aliyekuja kuvunja utawala wa waEThiopia na wakenya hatimaye amestaafu...
Wakuu na wapenda soka wote
Mnyamba Mkali Simba Nguvu Moja kwa mara nyingine leo tena inashuka uwanjani ku-test mitambo. Safari hii inacheza na Mtibwa Sugar leo uwanja wa Taifa
Msimulizi wako...