Mshambuliaji wa Yanga Simon Happygod Msuva aliyetimkia Morocco kujiunga na moja ya miamba ya soka barani Africa amefunguka na kusema matarajio yake ni kwenda mbele zaidi na ukizingatia nchi ya...
Gwiji wa mchezo wa mpira wa miguu raia wa Argentina,Diego Maradona ameunga mkono utumiaji wa kanda za video licha ya kukiri kwamba bao lake la ”Hand of God” dhidi ya Uingereza 1986 halikufaa...
---------------------------------------------------
Wadau mbalimbali wa soka wakiwemo wagombea wa uchaguzi katika nafasi mbalimbali za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wamekamatwa jijini Mwanza...
Jumatano ya July 26 2017 zilienea taarifa za kukamatwa na TAKUKURU kwa mwenyekiti wa chama cha mpira Dar es Salaam DRFA Almas Kasongo, mgombea wa nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji ya TFF...
Habari zenu wana jamvi.
Ikumbukwe kuwa Mwezi Agosti kutakuwa na mtanange wa Ngao ya Hisani.
Ngao ya hisani ni mtanange unaokutanisha "Bingwa wa LigiKuu Bara" na "Bingwa wa kombe la shirikisho...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndege imebadilishia gia angani[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
BREAKING NEWS..
Baada ya Zanzibar kufutiwa uanachama na shirikisho la soccer...
Floyd Mayweather vs. Conor McGregor ni pambano ambalo litafafanua vizuri maana ya tukio tajiri la kimichezo mnamo August 26 wakati pambano hili litakapovunja rekodi zote za kifedha zilizowahi...
Watu hawa wamechukua form za kuwania urais Tff ni haki yao kabisa ila hakuna mtu asiewajua
Hawajawahi kufanikisha chochote cha maana tangu wakae katika soka
Mwakalebela aliwahi kuwa katibu wa...
katika mechi ya kirafiki ilochezwa na Njombe mji fc na azam fc..njombe mji imeinuka kidedea kwa kuichapa Azam 2 bila...
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika vitu ambavyo natamani kuona ni simba kuingia katika mfumo wa HISA
Kwa mtindo huu simba inaweza kuwa kama club nyingine barani Afrika na dunia kwa ujumla
Mimi kama mwanachama naukaribisha...
Mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia mapema leo alifika makao makuu ya idara ya uhamiaji kwa amehojiwa kuhusu uraia wake.
Karia ni kaimu rais...
Ndio kama hivyo siku ya jana tumeshuhudia draw ya ratiba ya robo fainali ya michuano hiyo mikali, kwa upande wangu nimetokea kuvutiwa na huu mtanange kati ya stimu tosha watoto wa mabibo na keko...
Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Yanga, Simon Msuva
Mara baada ya kiungo wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva kupata nafasi ya kwenda kuanza maisha...
Zile tetesi kwamba kuna chuki za kocha wa Taifa Stars dhidi ya kuuvaa mkenge wa Usimba na Uyanga leo umedhihirika baada ya timu aliyoiteua kutofua dafu kwa Taifa dogo la Rwanda na kutoka suruhu...
Ninajiuliza swali. Ni hatua zipi muhimu za mtu hupitia Hadi kujinasibu kuwa yeye ni shabiki Wa timu fulani?
2.Je kuna Kosa gani kwa shabiki Huyo kuamua Kubadili gear angani na kujiunga na timu...