Wakuu nimeamua kuleta uzi huu kwenu ili kutaka kupima kati ya wachambuzi hawa mahiri wa Soka nchini ni yupi mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua soka la Nchini na nje ya nchi.
MCHUJO UCHAGUZI MKUU TFF
Wakati majina 73 yakipita katika hatua ya awali,mgombea tishio Ali Mayai amepita kihunzi hicho. Mwanasoka Ali Mayai wamekuwa akiiundiwa mazengwe na timu ya fitna ya...
TULIOKUWA HATUYAJUI KUHUSU LUKAKU NA KUJIUNGA MAN UNITED:
Limekuwa dili la kushtukiza kwa man utd fans na hata mashabiki wengine wa soka lakini mchambuzi na mtangazaji wa kituo cha sky sport HQ...
ROONEY ASAINI EVERTON
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney, 31, amejiunga tena na Everton kwa uhamisho wa bure, miaka 13 baada ya kuondoka Goodison Park
Rooney aliichezea Manchester...
Aliyekuwa beki wa mtibwa sugar na mchezaji wa timu ya taifa stars salumu mbonde ametia wino wa kuitumikia simba miaka.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Ile ndoto ya kiungo wa Yanga, Simon Happygod Msuva ya kutaka kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, inaweza kukamilika sasa baada ya uongozi wa timu hiyo kuweka wazi kuwa maongezi baina yao na timu...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF) limetoa orodha kamili ya majina ya watu watakaoshiriki kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika mwezi ujao.
Nani...
Kwanza niwape pole sana mashabiki wa Arsenal kwa kipigo cha mbwa mwizi aliyekunywa maziwa ya mtoto , binafsi sikustuka bali nilishangaa kwa Bayern kupata mabao machache kinyume cha matarajio ...
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amejiuzulu wadhifa wake wa Ujumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Kupitia kwa wakili wake, kampuni ya...
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakeyembe akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar...
Juventus
Bayern Munich
Man Utd
Jezi ya Ugenini, ya nyumbani bado hawajatoa
Real Madrid
Ac Milan
Chelsea
Wamemaliza mkataba wao na Adidas, sasa wamehamia Nike
Newcastle United...
Habari zenu wanajamvi.
Leo ninapenda kuchukua nafasi kuwashukuru nyote kwa kuwa na imani na Timu ya Tanzania ya mpira wa miguu tangu hapo awali mpaka tamati yake hii Leo.
Licha ya kutambua wazi...
TANZANIA imefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika michuano ya COSAFA Castle baada ya ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Lesotho kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 usiku huu Uwanja wa Moruleng...
Nimekuwa nikifuatilia michuano ya kombe la COSAFA inayoendelea mpaka sasa kule nchini AFRIKA KUSINI na hasa hasa mechi ambazo timu yetu ya TAIFA STARS (Kilimanjaro Stars) imekuwa ikicheza. Mungu...
Romelu Lukaku is set to have a medical with Manchester United after they agreed to pay Everton an initial £75m for the Belgium striker.
The deal for the 24-year-old, initially reported by BBC...
Police: Video shows Venus Williams drove 'lawfully' before crash - CNN.com
(CNN)
Surveillance video showed tennis star Venus Williams was driving "lawfully" as she entered an intersection where...