Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Taifa stars vs south Africa ,vilaza wawili wa soka wanaminyana hapo baadae , Siku kadhaa nyuma nilisema kwenye post yangu kuhusiana na mpambano wa Stars na South kuwa vilaza wawili wanakutana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
NDUGU mtz mwenzangu pamoja na tofauti zetu nyingi lakin ni ukweli usiopingika kuwa tu wamoja kwasababu ya Utanzania wetu. Naomba comment chochote kuipa suport timu yet. KARIBU
1 Reactions
44 Replies
7K Views
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ana haki zote za kuwa na urafiki na mtu na kumsapoti katika jambo lolote lenye heri. Ili mradi havunji sheria za nchi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Nikiri kuwa sijafuatilia in details..mgogoro wa ZFA likini baada ya kuwaona hao viongozi wa ZFA wakiongea star tv ningependa kumshauri tu Jamal Malinzi...aachane kabisa na migogoro ya ZFA yeye...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wadau; Kuna mambo ambayo ukiya tafakari kwa makini unaona jinsi ambavyo klabu pendwa ya Yanga ambavyo inaongozwa na mwenyekiti tapeli. Utapeli huu umeenda mbali hadi kujiongezea muda wa kukaa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbona mechi na Taifa Stars hapa haipo? Hii maana yake nini? Brazil Recent Games 2010-06-15Brazil2 - 1Korea DPRW 2010-06-02Zimbabwe0 - 3Brazil 2010-03-02Republic of Ireland0 - 2Brazil...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wallace Karia ambaye kwa sasa ndiyo anakaimu nafasi ya Urais wa TFF amethibitisha kuwa ule Ujumbe maalum wa FIFA uliokuwa uje nchini Tanzania kufuatilia sakata zima la Rais wa TFF Jamal Emil...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa klabu ya simba SC Zacharia Hans Poppe amesema wametuma mtu kwa ajili ya kuzungumza na uongozi wa timu ya AFC Leopard, ili kumsajili mshambuliaji Allan...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Habali kamili Yule kiuongo machachali aliyejiunga na simba akitokea azam john bocco ameitwa upes na haraka haraka sana...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Aston Villa wamemsajili aliyekuwa mchezaji wa Chelsea na nahodha wa timu ya Uingereza John Terry. Beki huyo mwenye umri wa miaka 36 ambaye kandarasi yake katika uwanja wa Stamford Bridge ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Yaani kuitwa mpnzi au shabiki wa simba lazima uwe na ufahamu mdogo..ndiyo lazima uamini kila unachoambiwa hata kama hakiwezekani. Niliwaambia Niyonzima hawezi kuichezea simba hata iweje kwa...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
NIMEMUONA raisi wa TFF NDUGU Jamali Malinzi akikosea Mlango wa Karandinga. Imenigusa sana. sizungumzii tuhuma zinazomkabili. Nawaza katika muktadha wa kiutu na kujifunza. Hakukosea mlango wa...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Kikosi cha Taifa Stars kesho kinatarajiwa kushuka dimbani kutupa karata yake katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la COSAFA dhidi ya Zambia huku kikiwa na mshambuliaji mpya John...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za muda huu. Taarifa ambazo nimezipokea japo kwa taabu na usiri mkubwa zinasema kwamba hatimaye Rais wa TFF Ndugu Jamal Emily Malinzi amekubali kuondoa jina lake katika Uchaguzi ujao wa...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
Nasema mwanzo mwanzoni kuwa mimi ni Mwanasheria na Wakili Msomi. Najua kuwa kutuhumiwa na kushtakiwa si kukutwa na hatia. Kila mshtakiwa si mwenye hatia hadi mahakama itamke hivyo. Mambo hayo,kama...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
David ornstein wengi nadhani mnajua huwa hatoi taarifa ya uongo mara nyingi habari zake zinakuwa za kweli kwenye page yake amepost kuwa arsenal wanakaribia kumnasa lacazzete kila kitu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Siku chache tangu uongozi wa Yanga utangaze kumsajili kiungo mkabaji, Papy Kabamba Tshishimbi anayekipiga Mbambane Swallows ya Swaziland, watani wao wa jadi Simba nao wameingia kwenye vita ya...
1 Reactions
12 Replies
15K Views
Nimeuliza makusudi ili nipate ufafanuzi . Kuna fungu lolote kutoka serikalini linatengwa na kuingizwa kwenye akaunti ya TFF ? Nakumbuka wakati wa FAT ya Muhidin Ndolanga , FIFA ilipiga Marufuku...
5 Reactions
128 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…