Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mosi. Nawaomba wale ' Wajumbe ' wanne ( 4 ) wa TFF ambao kimsingi wameshajulikana kuwa na wao walikuwa wanafaidika nae hasa kwa ' mtonyo / pesa ' na ndiyo maana wameharibu kabisa ' mchakato '...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
FIFA inaleta timu kuja kuchunguza sakata la Malinizi na wenzake..wakati hayo yakiendeelea kaimu mwenyekiti wa TFF Karia amesema kunani sintofahamu iliopo ni vyema tukashirikisha na wenzetu FIFA...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Kaongea kiswahili safi kabisa baada ya kuelewa swali la mrembo yule "*mtangazaji*" likitaka nini na kuonesha utanzania halisi ki roho safii hakutaka kuanza...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Napenda kumpongeza Ali Mayai Tembele kwa kuwazima midomo akina Jef and co waliokuwa wanauponda uteuzi wa timu ya FIFA ya mwaka huu. Kafanya hivo leo katika kipindi cha michezo cha Clouds FM. Watu...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Uyu ni mgombea Urais kwenye Club yetu pendwa Ya Simba jana nimeona akienda kuchukua form ya Urais alifunga Mtaa wa msimbazi mamia ya wanachama wakisukuma gari lake mwenye Cv yake aidondoshe umu
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Aston Villa is delighted to announce the signing of John Terry on a one-year deal. The former England captain arrives at Villa Park having helped Chelsea secure the Premier League title in...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Timu ya taifa ya Tanzania imefuzu hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wa michuano hiyo ya COSAFA Afrika ya kusini. Stars imepata ushindi huo kwa goli pekee la...
3 Reactions
154 Replies
15K Views
Ninamuelewa sana Ronaldo ndani ya uwanja kama CR7 ila Bado sijabahatika kumuelewa nje ya uwanja kabisa kama Baba wa watoto watatu. Kinachonifanya nimuelewe ndicho kilicho kufanya na wewe uelewe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeumizwa sana Asanteni Taifa Stars saiz hata mkikutana na Germany ntawapa ushindi
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kamati ya Utendaji ya TFF imeahirisha uchaguzi hadi hapo itakapokutana Julai 4, mwaka huu. Imeelezwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu. Kichekesho...
2 Reactions
83 Replies
7K Views
Bila ubishi wote tunajua kuwa Leonel Messi ndiyo mchezaji bora kutokea tokea dunia iumbwe. Ila kumekuwa na haters wachache wakisema hawezi kuwa bora mpaka abebe kombe la dunia, kweli? Kombe la...
3 Reactions
90 Replies
10K Views
Muda si mrefu mpambano utaanza stay tune...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Pengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza...
2 Reactions
133 Replies
13K Views
Hivi ndivyo watakavyojifariji Kama walivyojifariji kwa yaliyotokea kwa Ndombo Ngoma Jana.. ...stay tuned
5 Reactions
77 Replies
12K Views
Leo vilaza wawili kwenye soka wanakutana kwenye mashindano ya Cosafa.South Africa vs Tanzania. Bila ya kupindisha maneno kila mmoja anafahamu namna Stars tulivyo vilaza na sio stars tu hata...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
1. Kughushi Aveva alighushi nyaraka ili kujilipa deni ambalo inadaiwa aliikopesha Simba USD 300,000. 2. Nyaraka za uongo Walitumia nyaraka za uongo ili kulipa deni kutoka benki ya CRDB. 3...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Yani maisha hayana adabu kwa kweli. Tumuache Mungu aitwe Mungu.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Bafana Bafana to know Cosafa Cup quarter-final opponents on Thursday 28 June 2017 - 11:13 By Mark Gleeson South Africa will have to wait until Thursday to find out the identity of their Cosafa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…