Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kamati ya usajili ya yanga ipo kwenye hatua za mwisho kunasa saini ya mchezi toka matopeni ..Demla ambaye anatarajia kutua yanga wakati wowote amesharidhia ofa.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi wa TFF, Revocatus Kuuli amesema yuko tayari kujiuzuru baada ya kutofautiana na wajumbe wake juu ya hatma ya rais anayemaliza muda wake Jamal Malinzi. Kamati ya...
2 Reactions
78 Replies
6K Views
Wajumbe wanataka malinzi na wenzie wasailie ,wakati mwenyekiti kagoma .Mwenyekiti anakili wazi kamati hii ina ajenda ya siri Chanzo :EFM SPORT
2 Reactions
126 Replies
9K Views
Habari wana JF, Kwa kashfa ambayo Mh rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi nadhani ni busara sana kwake kukaa pembeni kwa kutangaza kujiuzuru nafas yake. Hii itaendelea kulinda heshima yake na huku...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu hapa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti huyo Revocatus kuuli amesitisha uchaguzi huo kutokana na kile alichokiita kuwa haoni sababu ya majina mengine kuenguliwa bila sababu ya msingi!
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Nyota wa soka nchini Argentina Lionel Messi amemuoa mpenziwe wa utotoni nyumbani kwao katika kile kilichotajwa kuwa harusi ya karne. Waliokuwa wachezaji wa barcelona Xavi na mkewe, Fabregas na...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF ,na ambae sasa anawania nafasi ya Urais wa shirikisho hilo Bwana Wallace Karia amewekewa pingamizi dhidi ya uraia wake.Bwana Karia ambae duru za siasa za...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
. Kumekuwa na mjadala unatembea mitandaoni kuhusiana na Haji Manara kuangua kilio mahakamani Kisutu, jana. Manara ambaye ni msemaji wa Simba, aliangua kilio baada ya Rais wa Simba, Evans Aveva...
3 Reactions
59 Replies
11K Views
HARUNA NIYONZIMA AOTA MBAWA MSIMBAZI! Alisema anashangazwa na viongozi Simba kuwadanganya mashabiki wao kama yeye amesaini simba. Asikika live Rwanda. FM RADIO. 87.6 katika kipindi cha michezo...
6 Reactions
72 Replies
12K Views
Kipi kisa cha yeye kukamatwa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka ya nyuma mchambuzi mmoja wa soka alikuwa maarufu sana kupitia DTV chanel ten kama sijakosea,alikua anaitwa LIKY ABDALA,kutokana na yule bwana kuonekana kila siku ya mechi kubwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Je kuna Mtu yoyote labda tokea Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi alipokamatwa na hadi kupelekwa ' Segadansi ' mpaka muda huu ameona ' Tweet ' yoyote kutoka kwa Rais wa FIFA Infantino kumpa pole '...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Binafsi nashindwa kuelewa kama umepata nafasi ya kuwaongoza watu fulani na kwa bahati mbaya au kwa makusudi ukapatwa na kashfa inayohusu utendaji wako au matumizi yako ya ofisi waliyokuamini na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa TFF, Jamal Malinzi hataweza kutetea kiti chake cha urais. Malinzi hataweza kwa kuwa kesi iliyomfikisha mahakamani leo itasikilizwa tena Jumatatu Julai 3 na Malinzi atakaa rumande hadi...
15 Reactions
129 Replies
18K Views
Kuna tetesi kwamba Donald Ngoma atania saini kwenye form za usajiri za Yanga mchana huu ili kuendelea kuitumikia Yanga,pia taarifa zinaendelea kusema kwamba,kiungo wa kati wa Yanga aliyevumishiwa...
5 Reactions
96 Replies
15K Views
Kwa wananchi, Nimeshawishika kutoa maoni yangu haya baada ya kuona tumekamilisha usajili wa ngoma na tambwe! kimsingi si usajili mbaya, isipokuwa mawazo yangu yananirudisha kwenye msimu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Bila shaka jamali malinzi ndio kashapotea kwenye soka Kwa namna tuliyoiona wote.swala LA msingi mbele yetu sasa ni kuhusu nani anafaa.katika wagombea waliobakia nani MTU sahihi anaefaa kuwa rais...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Kiukweli hali ya simba ni ya kusikitisha mno ! Hatua za haraka zisipochukuliwa wanachama tutegemee aibu zaidi . Kitendo cha jana Songea cha timu kulala kwenye hotel yenye kunguni na wachezaji...
4 Reactions
81 Replies
8K Views
Kimya kimya hizi ni taarifa nilizopenyezewa kutoka ndani ya Yanga, Hawa ni wachezaji wawili ambao yanga iko kwenye mkakati wa chini chini wa kuwasajili, Ni Martin Antwi na Amos Frimpong wote...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…