Wakuu napenda kufahamu katika hawa wagombea wa Urais wa TFF kuna
ambaye amewahi kucheza, kufundisha mpira au hata kuwa na utaalamu wa
Ualimu wa Mpira?
Mwenye kuwafahamu vizuri naomba anipe sifa...
Kama hujajuaa hilii nakumegeaaa tripuu hii ujinga atutakii tunaweka viongozi wa ukweli bila kujali usimba na uyangaaaaaaaaa
Namkaribisha kwa mara nyingine tena na tena kwangu namwita JEMEDARI
AMA...
Sasa ni uhakika kwamba Emmanuel Okwi anakuja nchini kumalizana na Simba kwa ajili ya kuanza kuichezea msimu ujao.
Okwi anatarajia kutua nchini kesho Jumamosi na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya...
Fanyeni yote, shangilieni yote! Ila wengi mtazimia baada ya mahesabu ya kura za rais TFF.
Jamaa amejipanga si utani...Achilia mbani na mielekeo ya kampeni zitakazo fanyika.
Kwa wale wapenzi wa Soka hasa wa timu zetu hizi mbili Yanga&Simba wanajua kinachoendelea kipindi hiki cha usajili
Mchezaji Raia wa Rwanda Haruna Niyonzima aka Fabregas wa Bongo baada ya kukipiga...
Wapenzi wa Simba mnaombwa kesho mapema saa 12.30 asubuhi muwepo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini, kwa ajili ya kumpokea Okwi ambapo msafara utaelekea hadi Raha Towel atakakokwenda kusaini...
MKURUGENZI wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Salum Madadi, amesema kwa mwenendo wa usajili wa Simba ulivyo, hakuna shaka timu hiyo ndiyo itakayochukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu...
Hakuna asiyeufahamu umahiri wa Rashid Matumla katika ndondi , huyu ni kati ya mabondia wachache sana walioliletea Taifa hili heshima kubwa sana .
Lakini kama ilivyo ada , katika kila jema kuna...
Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA) imekubaliana na pendekezo la kuongeza idadi ya timu zinazocheza Kombe la Dunia hadi kufikia timu 48.
Rais wa Fifa, Gianni Infantino na Marais wa Mashirikisho ya...
Anaitwa Luis suarez Miramontes, Ndio Mhispania Pekee Aliyewahi Kuchukua Balon d'or mwaka 1960 Akiwa na Team ya FC Barcelona!
Najua Wengi Hili Hamlijui ila Nimeamua Kuwasogezea Hapa Karibu!
Kiungo wa Mbeya City, Raphael Daud amethibitisha kusaini mkataba wa miaka mwili wa kuicheza Yanga msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.
Akizungumza kupitia kipindi cha Mshikemshike viwanjani cha Azam...
Tokea kujiudhuru kwa aliyekua mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji mambo ndani ya klabu hiyo yameendelea kuwa ovyo baada ya kundi la wajanja wachache kutumia nafasi hiyo kupiga hela nje nje.
Jezi...
Umafia tu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima kudaiwa kujiunga na Klabu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kupewa ofa ya shilingi milioni 100.
Habari...
tunajua kuwa Ugeruman na chile wanaongoza kundi kwa kuwa na point 4 kila mmoja bada ya kutoka sale mechi ya jana na hapo hapo Austria na cameroo wakiwa na point 1 kila mmoja bada ya kutoa sale...
Kulingana na ubora wa wachezaji waliosajili, waliopo na hata wale ambao kuna uwezekano mkubwa wa kusajili naomba tusaidiane hapa ili tuone ni kwa namna gani timu hii kongwe hapa nchini inaweza...