Ally Mayay anayewania Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), amerejesha fomu.
Nahodha huyo wa zamani wa Yanga amerejesha fomu leo baada ya kuwa amechukua hiyo jana.
Pamoja na Mayay, mkongwe...
Klabu ya Juventus imemchimba mkwara mchezaji wake Dani Alves kwamba atalazimikiwa kujiuzulu iwapo ataanzisha mazungumzo ya kusajiliwa na klabu za Chelsea na Manchester City.
Kwa mujibu wa Sky...
Najua sina vigezo vya kupiga kura kwenye huo uchaguzi wa TFF, Ila kama Mheshimiwa Jamal Malinzi Akimrudisha Kim Puolsen Taifa stars, naahidi kumpigia kampeni aendelee na hicho kiti chake.
Niyonzima anadai hawezi kuweka wazi kama amesaini na klabu yoyote kwani mpaka sasa mkataba wake na Yanga bado haujamalizika.
Hata hivyo anadai bado hajaongeza mkataba na klabu hiyo.
Kwa sasa...
Habari wanaJF,
Kama tunavyojua ligi mbalimbali zimemalizika na mabingwa wamejulikana tayari. Sasa tunaingia kwenye burudani nyingine yenye mvuto wa kipekee ambayo sasa itakuwa ni taarifa na...
Wakati uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ukitarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani Dodoma, hatimaye nafasi ya urais wa shirikisho hilo imepata wapinzani wawili hadi sasa...
Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa...
Huyu bwana hakika kama wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF watamchagua kuwa mjumbe wa kamati ya Utendaji watakuwa wameitendea haki soka ya nchi hii.
John Kadutu maarufu kama "Mgosi" ni mbunge wa...
Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric anakabiliwa na mashtaka nchini mwake, Croatia ambayo huenda akahukumiwa kifungo jela.
Mwanasheria Mkuu nchini humo alithibitisha mchezaji huyo kujihusisha na...
Ofisi ya katibu mkuu wa Yanga ni kama stoo wanaojiita wa kimataifa hata kabati la kuwekea makombe hawana simba walilalamika kombe la FA walipewa limechubuka ebu angalia picha ofisi ina kiti kimoja...
Leo nilikiwa napitia pitia mitandao ya Kijamii kutazama nani kamuongeza nani kwenye orodha yake ya Usajili..
Sana sana nilikiwa nikihitaji kutambua hivi vilabu vya chini kabisa.
Ila kwa bahati...
Kuna haya mabebi kuwa Marekani waliamua kumpa uraia rashid matumla lakini baba yake akamtaza asichukue kwa sababu flan flan....leo hii matumla amechoka ile mbaya na bila shaka akiwaona akina...
Kuna hili suala limekuwa likitumiwa sana na Simba kwenye kulaghai wachezaji masikini wa Kitanzania.
Wenyewe wanasema "Ukicheza Simba ni sawa na kuwa njia panda ya ULAYA".
Nimemsikia yule beki wa...
BAADA YA KUKOSA SAINI YA JONAS MKUDE, YANGA WAPIGA HODI AZAM FC
.............
Na isack kalindi
DAR ES SAALM: YANGA baada ya kumkosa Jonas Mkude wa Simba aliyeamua kusaini mkataba mpya wa...
Nikiangalia sura za baadhi ya wagombea sioni tumaini kwenye soka la Tanzania.
Naziona njaa na ulafi.
Naona mambo ya ushabiki ambayo sidhani kama yataleta tija kwenye soka letu.
Na hawa wazee...
Mbio za kugombea urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimegonga mwamba kwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwa kile alichodai kuwa atashindwa kuzitumikia kofia tatu...
Kwishney:
- Jamal Malinzi kura 73, Nyamlani 52.
Kwisha habari yake huyu hakimu mla rushwa.
Wakuu bila shaka leo ndio siku iliyokua ikisubiliwa kwa hamu na wadau wa mpira wa miguu Tanzania...
Messi amehukumiwa miezi 21 kwa kukwepa kodi nchini Spain.
≠=============
Argentina and Barcelona footballer Lionel Messi has been sentenced to 21 months in prison for tax fraud, Spanish media...
Imeripotiwa jezi ya FC Barcelona yenye nembo ya Qarar Airways imefungiwa kuvaliwa na watu Saudi Arabia na ikitokea umevaa unaweza kupigwa faini ya pound 120,000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 300...