Msimu wa 2015/2016: Vs Msimu wa 2016/2017:.
Kombe la mapinduzi.
2015/2016: Nusu Fainali.
2016/2017: Mshindi wa 2. Ila ni kwa taabu saana, maana nasikia “ndugu zetu” Azam baada ya mechi walilala...
Josep "Pep" Guardiola Sala ametoka bila kikombe chochote katika msimu wake wa kwanza na timu yake ya Man City ,na siku zote mambo yake yanapokwenda kombo humtafuta rafiki yake anayejua kufikilia...
Mbao fc aka wood fc Vijana kutoka Mwanza aka Rock city kwanza niwape hongera kwa kuleta changamoto kwenye soka la bongo tulishazoea Fainali nyingi ni Yanga,Simba au Azam ila leo Mmeonyesha kuwa...
Kati ya makocha wazawa wanaonikosha mojawapo ni Meck Mexime,huyu namfananisha kama mkufunzi La Masia kapika wachezaji sana naimani mchezaji ukiwa chini ya meck Mexime upo chini ya mikono salama...
Kuboronga kwa Serengeti Boys kwenye michuano ya vijana hakuwezi kupita tu hivi hivi kama upepo bila kujadiliwa .
Mafanikio ya timu yoyote ya soka kwa kiwango kikubwa huchangiwa na kocha wa timu...
Natumai uzima upo Wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuachana na huu mchezo wa betting mana nishakuwa adicted natafuta pesa kwa nguvu ila inaishia huko kwnye betting company hata nile kiasi...
As a general rule, every match suspension (of players and other persons) is carried over from one round to the next in the same competition.
Sasa Fahk alipata kadi katika mashindano mawili tofauti
WATCH LIVE MATCH | Arsenal vs Chelsea (English FA Cup) 27-05-2017 19:30 - 22:30 | WATCH FULL MATCH FREE
CLICK HERE TO WHATCH WATCH LIVE MATCH | Arsenal vs Chelsea (English FA Cup) 27-05-2017...
UINGEREZA: Klabu ya Arsenal yatwaa ubingwa wa Kombe la Chama cha Soka nchini humo(FA) baada ya kuifunga Chelsea FC kwa mabao 2 kwa 1.
Magoli ya Arsenal yalifungwa na Alixis Sanchez na Aaron...
"Aende lakini atakuja kukumbuka Azam wamemfanyia mambo mangapi katika maisha yake!"
Boko ni sawa na Santiago Bernabeu wa Real Madrid, alitakiwa amalizie mpira wake palepale kwenye kwenye...
Kila nikisikia Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji akisema anajiuzuru Yanga huwa nawashangaa mno Wana Yanga wanavyoanza kupepesuka huku wakitaka kumlamba hadi Miguu na kumnyenyekea.
Sidhani...
Kila mwenye macho ameona kitendo walichofanya Simba cha kususia zawadi ya mshindi wa pili na huku mchezaji akipotea zawadi ya mchezaji bora ikiwa inatoka kwa mdhamini yule yule Je ndo kusema...
Rufaa ya Simba FIFA itaamuliwa lini hadi Yanga isubiri hukumu ya FIFA kupewa kombe? VodaCom nao ni wanafanyabiashara hawawezi kuendekeza kusubiri ushindi wa mezani kutoka FIFA ambao haujulikani...
[https://2]
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, Mei 24, mwaka huu alituma ujumbe Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuipongeza Young Africans ya...
WanaYanga wote pale mlipo najua mko kwenye sherehe za Ubingwa hongera sana.Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji ameamua kujiuzulu.Manji aliahidi angekarabati Majengo ya Klabu Na Uwanja wa Kaunda...
Hii ni kutokana na kuwa baadhi ya wamiliki wa kampuni yao kuwa walishafanya biashara za bahati nasibu na zikafilisika. Pia wengine kuandikwa kwenye magazeti ya Kenya wakituhumiwa kuhusika na...