MEZANI FC Watinga ofisi za FIFA
_________________________________________
FIFA: Eeh umefuata nini huku
MEZANI FC: Point zangu tatu za Kagera Sugar
FIFA: Kwani ilikuwaje uzifuate huku
MEZANI...
Habari zenu wanajamvi, leo ninajitokeza kusema kwa kifupi sana juu ya magazeti ya michezo hapa nchini. Ni jana tu vijana wetu wa timu ya Taifa ya Serengeti Boys walishinda 2-1 dhidi ya Angola...
Habari wakuu?
Hivi wale vijana wetu watimu ya Serengeti Boys ambao kwasasa wanaendelea kufanya vyema huko Nchini Gabon kwene mashindano ya AFCON je wanasoma mana umri wao bado Mdogo wakuendelea...
Tukiwa tunaenda ukingoni kabisa mwa ligi mbalimbali duniani sio mbaya tukijikumbusha mabingwa wa ligi hizo.
Tanzania.Asilimia kubwa Yanga anaenda kuwa bingwa ila game za mwisho ndo zitaamua...
Mwezi huu kuna burudani kubwa tena kwa wapenzi wa mchezo wa mbio za magari. Tar 20&21 Dar na Pwani kutakuwa na mashindano ya magari ...
Unprovisional Entry List
1. Ahmed Huwell na Misam Fazal...
Nyota wa Serengeti boys aliefunga goli la pili Abdul Suleiman na aliechaguliwa kuwa man of the match katika mechi kati ya Tanzania na Angola jana mara baada mchezo kumalizika, madaktari wa CAF...
Nimefurah sana kuona watanzania tuko pamoja katika kuishangilia timu yetu ya under 17, na ndio timu amabayo nina iman itatunyanyua katika miaka ijayo na kutupaisha kimataifa. Timu ya taifa stars...
Toto Afrcans wnaipenda rangi ya kijani kuliko wanavyojipenda binafsi wao wenyewe. Kupagawishwa na rangi na mapenzi yao kwa Yanga wameona bora washuke daraja lakini wakaipa ubingwa Yanga kuliko...
-Tanzania Kwa sasa macho na masikio yote yapo Kwa Serengeti Boys Timu ya Vijana chini ya miaka 17 ambayo mwezi huu itashiriki michuano ya Africa chini ya miaka kumi na Saba (U17) itakayofanyika...
Salute!
Pamoja na Mimi kuwa mshabiki wa yanga sioni huo uchezaji bora wa msuva ,labda ufungaji. Pia hata huyo kichuya ni hovyo kabisa. Nakwambia hawa wachezaji wawili ni wabahatishaji tu, kubwa ni...
Wakuu poleni kwa mihangaiko ya kitafuta mkate wa kila siku
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza katika fainali itakayofanyika tarehe 3 June 2017 ya uefa champion league kati ya Real Madrid na...
Klabu ya Yanga leo itavaana na Klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwenye uwanja wa Taifa, mchezo ambao endapo Yanga wakishinda watatangazwa ubingwa huku wanajangwani hao wakimkosa kiungo wao...
Wasalaam wana jamvi.
Ni ukweli ulio wazi kabisa ujio wa sport pesa utamfukuza Manji YANGA na nitakacho tokea ni Yanga kupelekwa mahakamani kwa madeni wanayo daiwa na Manji kwakuwa amekuwa...