Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hii ni kufuatia droo iliyochezeshwa kwa uwazi kabisa na waendeshaji wa mashindano ya ASFC.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau naomba kujulishwa iwapo mchezaji ana kadi 3 Na timu ikaendelea kumchezesha Na hakuna timu iliyolalamika Sheria inasemaje?
0 Reactions
39 Replies
11K Views
Klabu ya soka ya nchi uingereza New castle united inayonolewa na gwiji la ukocha dunia Rafael Benitez, jana wamefanikiwa kurejea EPL kwa kishindo baada ya kumpiga Preston bao 4 kwa 1 ukimbukwe...
1 Reactions
2 Replies
830 Views
Kuna kila dalili ya Shirikisho la Sola Duniani Fifa kuifungia Timu ya Simba sc kwa sababu ya kutaka kutumia Serikali katika kuilazimisha TFF iwape point tatu Kwa utaratibu na sheria za FiFa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
======== LIONEL Messi akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona katika ushindi wa mabao 3-2 ugenini dhidi ya Real Madrid katika mchezo mkali wa ligi ya La Liga uliochezwa usiku huu...
9 Reactions
95 Replies
14K Views
Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limetangaza kuipoka Simba pointi tatu na mabao matatu ambazo ilipewa kutokana na mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar. Wiki mbili zilizopita Simba ilipoteza...
7 Reactions
63 Replies
9K Views
kudadadeki............
1 Reactions
2 Replies
661 Views
Kiungo mkabaji wa Chelsea Fc, N'golo Kante ashinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka 2016/17 baada ya kutangazwa na Chama cha Wanasoka wa Kulipwa nchini Uingereza(PFA). Aidha kiungo mshambuliaji wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SQUARE ENTERTAINMENT in conjunction with SIDE ENTERTAINMENT proudly presents NAY WA MITEGO the true boy for first time in namanga, 30th-April @Breezing Point Clib (Kwa Mwarabu). The event will...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Jamani, mweeee wana msimbazi mnatia huruma, Jana ilikuwa siku ngumu sana kwenu. Sababu zilizopelekea siku iwe mbaya kwenu ni: Kunyang'anywa points za mezani mlizo tunukiwa baada ya kufungwa na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
TFF ni dhaifu kwa kutumia kanuni ambazo zinaruhusu kutengua matokeo ya mpira jambo ambalo ni kudhoofisha mpira wa miguu. Endapo TFF wangekuwa waadilifu kanuni zao zingeipatia TFF mamlaka ya...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Wana jf wasalaam. Toka mwanzo wa saktata la card tatu za mchezaji wa kagera nimekuwa nikijiuliza ni nani walikuwa wana dhamana ya kuhakikisha wanaondoa utata kwenye swala hili? Lakini jibu...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
1.Hii ni TFF pekee iliyotukumbusha kuwa bado kuna viini vya ukabila nchi hii ambapo viongozi wakuu wa chombo hiki pamoja na asilimia kubwa ya wadau wengine ni wahaya. Sitaki kuamini kuwa hii ni...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
JUMAMOSI TAREHE 22/4/2017 MASHINDANO YATAANZIA KIWANDA CHA MAJI YA MKWAWA IPOGOLO NYUMA YA GEREJI YA M.T. HUWEL SAA 4 ASUBUHI WOTE MNAKARIBISHWA. KISHA UWANJA WA SAMORA SAA 7.00 MCHANA NA...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umeandika barua kwa Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro ikiomba kufanya maandamano ya amani Jumanne ijayo kupiga uonevu wa Shirikisho la Soka TFF ...
0 Reactions
4 Replies
813 Views
MTAZAME HAPA MBWANA ALLY SAMATTA HUKO KRC-GENK AKIFUNGA MAGOLI YAKIUFUNDI. MBWANA SAMATTA NI MTANZANIA MWENYE BIDII KUBWA SANA YA SOKA NA KAMA AKIENDELEA HIVI IPO SIKU ATAFIKA MBALI. GOD BLESS...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Hatutaki maneno zaidi, tunaomba mrejeshe pesa zetu ambazo mmechukua wewe na wenzako watatu, mmetusaliti kwani mmeenda kinyume cha makubaliano.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo tarehe 23/4 Re=18+5+23=46 Ba=2+1+23=26 Wote wana namba shufwa , na hawaendani na tarehe HII MECHI NI DROO Pia mwenye namba ndogo ana nafasi ya kushinda .,hivo BARCA atashinda au sare
2 Reactions
16 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…