Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo tareh 23/4 Ar= 1+18+23=42 Ma=13+1+23=37 Dk 90 droo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mtanzania Alphonce Simbu ameshika nafasi ya 5 katika Mbio za Marathon. Daniel Wanjiru kutoka Kenya aongoza.
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni ile iliyoanzia dimbani, Ikahamia mezani, Ikahamia kwenye kamati zingine. Leo jioni imemalizika kwa simba kufungwa rasmi 2-1. #hizi mambo zingehamia kwenye viwanja basi kila mwezi Tz...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nashauri Kamati ya Sheria za soka ya TFF ipige marufuku timu kukata Rufaa Na hata kama mchezaji ameonyeshwa kadi 100 acheze tu kwani hakuna kulalamika.Sheria itasaidia kuinua Kiwango cha soka letu.
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Salaam wana JF Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na gumzo kubwa juu ya ‘pointi 3’ za Simba Sports Club alizopewa baada ya kushinda malalamiko (na sio rufaa kama inavyopotoshwa) dhidi ya Kagera Sugar...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Pole Mtani nasikia nawakwenu naye kala Ban. Ningependa kuishauri Tff ipitishe sheria kali kuzuia viongozi wote wa mpira hasa wasemaji wa vilabu vyetu kuacha kuzungumzia mambo ya tff na pia...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Sidhani kama huyubwana anaelewa maama ya ushabiki Na kama angekuwa ana akili angeshtuka alichofanya Muro na adhabu aliyopita Sikuamini matusi aliyotoa mbele ya press na TFF ikamkalia kimya...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Kiukwelii CHAMA KIMESHINDWA N HILI SAKATA N KTK HILO NAAMINI KABISA KABISA UNASIKIA AMA USHASIKIA KINACHOENDELEA BINAFSII SIJAONA AMA KUELEWA KAMATI ZA TFF KWANINI ZINACHELEWA KUTOA UAMUZI WAKATI...
0 Reactions
4 Replies
793 Views
What a miss
0 Reactions
2 Replies
404 Views
*Beki wa Chelsea aongoza kupiga pasi timilifu* Katika msimu huu wa ligi ya Uingereza manina ya viungo kama Paul Pogba, Ander Herrera, Ngolo Kante na Jordan Henderson wamekuwa wakizungumziwa sana...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Naomba mtupashe kinachojiri uwanja wa taifa. Huku wenye umeme wao wamechukua.
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Haitakua vibaya tukitaja timu maarufu za mpira wa miguu zinazoongozwa kubebwa na marefa duniani iwe Tanzania au popote Pale.
0 Reactions
56 Replies
5K Views
MICHEZO Usitarajie kumuona tena Zlatan Ibrahimovic uwanjani kwa mwaka 2017 By Isack kalindi Bado wachezaji na benchi zima la ufundi la Man United halitakuamini kwa kilichotokea kwa mshambuliaji...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimejaribu kufuatilia ligikuu za Kiafrika nyingi zinafanana tu anzia wachezaji mpaka mfumo mzima wa mpira. Zamani kuna ligi zilikua bora sana kama vile Afrika kusini vilabu kama Kaizer...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka. Ngoma ya Haji Manara Simba kama ile ya Jerry Muro Yanga
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nashangaa baadhi ya watu kuanza kuingiza mambo ya ukabila kwenye hili suala la Kagera Sugar,hakuna haja acha sheria ifanye kazi yake, mwenye haki apewe haki yake. Kama Mwamamuzi anasema...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Utabir wa Leo unasema Man u vs Anderlecht Man u win Genk vs celta Draw Schalke vs ajax Schalke win Besiktas vs Lyon Draw
2 Reactions
40 Replies
8K Views
Baada ya siku chache zilizopita kuonekana kwa wasanii wa tasnia ya maigizo wakipaza sauti kutumia maandamano. Mabingwa wa Ligi Kuu wa Tanzania Bara wa mwaka/msimu 2011/12 leo wamemua kuandaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naona wanasiasa, hasa wa vyama vya upinzani, wakiendelea kujiimarisha katika anga zingine mbali na siasa na safari hii mwanasiasa mwingine wa upinzani, Zitto Zuberi Kabwe nae anatajwa kujitosa...
4 Reactions
62 Replies
9K Views
Kha kila siku sikuizi ni utabiri tu laza ya jukwaa letu La sport inapungua sana maswala mazito zito ya kisport hatuyaoni Niwaombe wadau wa jukwaa hili la sport tuliboresheni jukwaa letu...
0 Reactions
6 Replies
816 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…