Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

KRC Genk imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kuingia robo fainali ya kombe la Europa baada ya kuishinda AA Gent kwa magoli matano kwa mawili Timu hizo zitacheza mechi ya marudiano...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Uwanja huu unaotumika katika mchezo wa leo wa Europa kati ya manchester united vs Fc Rostov ni uwanja mbovu kuwahi kushuhudia ukitumika kwenye michezo hii mikubwa barani ulaya jana nilisoma habari...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
USHAURI WA AKIBA KWA OMOG. Ubora wako ulithibitika toka ulivyokuja Tanzania pindi ulipokuwa unakinoa kikosi cha Azam(wana ramba ramba) na sasa bado unauthibitishia umma wa simba kwamba wewe sio wa...
1 Reactions
0 Replies
570 Views
Kwema waungwana. Nimekuwa najiuliza bila mafanikio yeyote kuhusu hii ligi ya VPL, Kwanza naomba kufahamu ni kiasi gani mshindi wa ligi ya vodacom anapewa pale anapotwaa taji hilo. Gharama ambazo...
1 Reactions
1 Replies
17K Views
MECHI ZA LEO: Arsenal Vs Bayern Munich Napoli Vs Real Madrid MECHI ZA KESHO: Barcelona Vs PSG Borussia Dortmund Vs Benfica Hatua ya mtoano ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kuendelea leo...
6 Reactions
152 Replies
14K Views
Kwanza kabisa, hamna timu ya mpira siipendi kama barca kwenye hii dunia!! Barca wametoka kwenye 4 bila mpaka kuvuka 16 bora kitu ambacho wengi wetu tulijua ndio mwisho wa barca!! PSG waliingia...
17 Reactions
70 Replies
5K Views
Habari Jf Hakika timu za england zinatakiwa kujifunza sana kutoka kwa timu za Spain mana walichoshindwa kukifanya arsenal ndicho walichoweza kukifanya barca,walicheza kwa hari na lengo moja...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
wakuu kama mnavyojua ligi kubwa na yenye mvuto katika virabu ni ile ya klabu bingwa barani ulaya inayoendelea kwa sasa je ni Timu unaitabiria itachukua ubingwa itakuwa real Madrid tena? au Timu...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Nilikuwa nauliza nan mwanzilishi wa hizi staili maana wanatumia watu wengi mpaka watoto wa chekechea? Asanteni
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hatimae ratiba ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) imetoka. Bingwa mtarajiwa wa michuano hii TIMU ya Simba SC atamenyana na Madini FC ya...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Jambo la kushangazi limeibuka laeo katika mchezo wa Yanga na kiluvya ambapo chirwa amefunga goli nne peke yake na kuonekana kama ni mshambuliaji hatari sana katika nchi hii ya Tanzania nikaja...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Ni aibuu naama timuuu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Imebidi kutafuta msaada wenu kufahamu ni vigezo gani vinatumiwa na TFF (shirikisho la soka) kupanga mechi za timu za Simba na Yanga kuchezwa mchana tu. Mpaka sasa timu takribani zote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimejaribu kuangalia kwa Umakini hawa Wachezaji wetu kwa sasa,upigaji wa penalti umekua Shida sana kwao na wengi wanabahatisha tu sijui hakuna mazoezi ya kupiga penalti siku hizi Pale Yanga yupo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jumla kuu 10-2,Kwetu 5-1 kwao 1-5,Kuna ulazima wa kuhakiki vyeti vya huyu mzee sio kwa mwendo huu.Na wale mashabiki wake hawachelewi kuingia na Mabango game ijayo MZEE OUT, Huku kwetu wameanza...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa mashindano ya magari, kesho kuna mashindano ya magari Kilimanjaro karibuni tutakuwa tunapeana updates humu
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi wa Mpira kama mimi kuna Channel ndani ya kisimbuzi cha Azam inaitwa UBC inaonesha Mubashara UEFA Now SEVILLA 1 LEICESTER CITY 0 Furahia mdau wa soka
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za jioni? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza faida na hasara nilizopata katika betting,nilianza kubet mwaka 2010 Tangu nianze kubet mpka sasa nimepata faida ya mil23. Siku ya kwanza...
1 Reactions
36 Replies
15K Views
Club ya chelsea jana imezidi kujiimarisha kileleni mwa ligi kuu ya nchini uingereza baada ya kuinyuka west ham goli mbili kwa moja na kuendelea kuwa tishio kwa timu zenye matumaini ya kuikamata...
2 Reactions
3 Replies
905 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…