Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hivi karibuni chama cha soka Tanzania kiliufunga uwanja wa Jamhuri wa Morogoro kuwa haufai kuchezewa mechi za ligi kuu Tanzania bara.Mashariti waliopewa ni kuufanyia marekebisho ili uwe katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Teams news Mechi inaanza saa moja usiku. Sunderland wako nyumbani
1 Reactions
117 Replies
4K Views
Mheshimiwa Lema bana! Eti ameniuliza ameingia jela Desemba hadi anatoka Machi bado man United ya sita, ligi ilisimama au? Mi nimemwambia nitamjibu ngoja nimalize kazi! :D:D:D:D:D:D
2 Reactions
0 Replies
933 Views
Bondia aliyejizolea umaarufu mkubwa dunia kwa kutowahi kupigwa hata mara moja katika mechi zote alizocheza mr Floyd Mayweather amesema kuwa mechi ya tarehe 23/4/2017 kati ya mphilipino Manny...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yanga abanwa mbavu na mtibwa alazimishwa sare ya kutofungana abaki nyuma ya simba kwa point mbili yanga wanatakiwa kujilaumu wenyewe baada ya msuva kukosa penati ambayo ilipaa juu ya lango sare...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Hatimae bodi ya klabu ya Arsenal imekamilisha mazungumzo Na kocha wa klabu ya Juventus ya Italia Juu ya kumpata kocha wake Massimiliano Allegri, mara baada ya msimu huu wa ligi kumalizika. Kocha...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Tony Bellew beats David Haye with 11th-round stoppage By Luke Reddy at London's O2 Arena Bellew has now won 29 of his 32 fights Missed the fight? Listen to a repeat of the commentary every hour...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo kulikuwa na mechi ya Simba vs Yanga lakini nilichostaajabu mimi Kelvini Yondani kuwa aliwaka sana sasa sijajua hizo lawama zilikuwa zinamwendea nani? Kichuya au kwa wale wenye kutafsiri...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Huu ni muendelezo wa utovu wa nidhamu ambao unaoneshwa mara nying Na wachezaji wa Kigeni na pia hata wa ndani. Huu ni udhaifu ambao unaendelezwa saba na wachezaji wa kiafrika. Sikatai madai yake...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana JF, Mimi ni mdau wa michezo, na ninaipenda sana Simba SC. Katika harakati za kuijenga timu, mwaka jana uongozi wa klabu yetu ulimsainisha Joseph Marius Omog kuwa kocha mkuu...
1 Reactions
2 Replies
825 Views
Katika hali ya kushangaza wakati timu ya Simba ikitaabishwa na Mbeya City uwanja wa taifa hapo jana afisa habari wa timu hiyo Haji Manara na meneja wa timu Musa Mgosi walikua bize na karibu kabisa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dakika 3 zimepita bado ni bila kwa bila
0 Reactions
82 Replies
3K Views
Aisee huwezi amini. Baada ya kuipa kipigo cha mbwa mwizi kwa Liverfools juzi, leo tena wametoa kipigo chengine. cha Ajabu vipigo hivi vimekuja baada tu ya Ranieri kutimuliwa. ina Maana wachezaji...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi ni kuwa wachezaji wa timu ya Dar es salaam Young Africa wamedokeza kuwa hawatakuwa tayari kuingia uwanjani katika mechi yao dhidi ya Mtibwa siku ya jumapili...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Nachukua nafasi hii kuipongeza klabu bingwa afrika kwa mara 5 sasa wana Tp Mazembe ya DRC kwa ushindi huo mgumu hasa kwa bara la Afrika lililosheheni rushwa na kila aina ya ushirikina. Pia...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Imebainika yule mwamuzi aliochezesha mechi ya yanga na ruvu shooting alikula mlungula ili kuidhoofisha yanga kuelekea mechi ya yanga na mtibwa Mpaka sasa uma wa wapenda soka hauelewi kwa nini...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Fuatilia Live Update ya Mechi Kati ya Simba Na Mbeya City (Full Time Mbeya city 2 Simba 2) MPIRA UMEKWISHAA -Agyei anaokoa vizuri mpira wa kona na kuwa kona tena.Ungeweza kujaa moja kwa moja...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Mshambuliaji Obrey Chirwa wa Yanga, yuko huru kucheza baada ya mechi kadi yake nyekundu kufutwa. Kamati ya Saa 72 ya TFF iliyokaa, imepitisha uamuzi huo leo. Chirwa alilambwa kadi nyekundu baada...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa za ndani ya vigogo wa Yanga zinasema yametengwa mamilioni kuhujumu timu nyingine ikiwamo Azam na Simba ili Yanga iweze kubeba kombe la FA iweze ipate ushiriki wa michuano ya Kimataifa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…