10.07.2015.. "Christian Ronaldo wa Uganda".. Okwi, alisajiliwa na SonderjysjkE inayoshiriki Super Liga ya nchini Denmark. Hii ilikuja baada ya wazungu kupagawa kisawasawa na kiwango cha hali ya...
Kamwene wadimi na wanyalu wote wa hapo mshindo na viunga vyote vya mkoa wa Iringa.Niwapongeze kwa kuweza kuirejesha timu ya lipuli kwenye ligi kuu ya vodacom.
Nampongeza mwanamichezo DC Kasesela...
Na
Cosmasy Choga
WENGER:Mashabiki wawe kama wa timu nyingine.
Ikiwa ni siku chache kupita toka mashabiki wa Arsenal wabebe mabango yenye ujumbe wa kutaka kocha wa timu hiyo aachie wengine...
Na
Cosmasy Choga
Ukiwa shuleni utajifunza mambo ya lensi mbinuko na mbonyeo na kila moja hufanya kazi yake mbinuko kufanya uone mbali wakati mbonyeo kufanya uone Karibu,anyway Soka nalo ni...
Dah,huyu jamaa alitutesa sana simba,enzi hizo mtangazaji akisema"na nambari 11 ni kama kawaida edibily lunyamila!" mapigo ya moyo yalikuwa yana change ghafla kwa kusikia tu jina,akishika mpira ndo...
TIMU ya Kimondo Super SC imeshushwa madaraja mawili (hadi ligi ya Mkoa) na matokeo ya mechi zake zote ilizocheza katika kundi B ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) yamefutwa kwa kushindwa kufika...
By Nicasius Agwanda
Katika ubongo wa mpenda soka yeyote,
katika fikra za binadamu
anayeufahamu mchezo huu na kwenye
macho ya mtu anayesisimka kila
anapotazama soka ambayo ndio
inayoongoza kwa...
Mourinho kocha mreno kwa sasa akifundisha Man utd kipindi chake cha usajili alimsajili Paul Pogba kwa gharama za usajili zilizovunja rekodi ya dunia huku muitaliano naye akimsajili kijana wa...
Shirikisho la soka baran Afrika CAF leo limetangaza makundi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ambayo Tanzania imefuzu
Katika michuano jiyo...
WINGA wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Edibily Lunyamila leo hii asubuhi amekimbizwa katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kusumbuliwa na kifua na sasa anapumua kwa msaada wa mashine...
Kuna umbali gani kuzunguka uwanja wa mpira mkubwa mara moja? Nlikua Sina pumzi kabisa lakini nmejitahidi ndani ya wiki Tatu nmeweza kuzunguka uwanja wa mpira wa miguu mkubwa zaidi ya mara 15...
Baada ya kuiponda Cameroon kwenye moja ya makala yake katika gazeti la MwanaSpoti, hatimaye timu ya taifa Cameroon( Simba wasiofugika) hapo jana wamemjibu Edo baada ya kumpiga Ghana 2 - 0.
Edo...
Karibuni,
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya AFCON 2017, Njooni tusemezane, Matokeo, news, n.k
Groups of AFCON 2017
GROUP A:
Gabon, Burkina Faso, Cameroon, Guinea-Bissau
Group B:
Algeria, Tunisia...
Baada ya dhuruma waliofanyiwa simba kucgezeshwa kwenye uwanja wa ovyo na mtibwa,leo hii wameicharaza maji maji ya mjini songea goli 3-0 na mpira umemalizika!
Ahsante simba
Kombe msimbazi msimu huu.!
Moja ya vitu ambavyo wamefanikiwa wachezaji wengi wa kiafrica walioshiriki Afcon ni kuonyesha mitindo ya UREMBO , wengi walionekana walikwenda zaidi KUONYESHA MITINDO YA NYWELE NA KUPAKA RANGI ...
The SI Staff
Thursday January 5th, 2017
Before Super Bowl LI kicks off, before old rivalries are renewed and season-long scores are settled with higher stakes than ever, before anyone enters a...
Frank Lampard(38) ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka ikiwa ni mwaka wake wa 21 ndani ya tasnia hiyo.
=====
Former Chelsea and England midfielder Frank Lampard has retired, bringing to an...