Vipi Leo wale wachambuzi wetu wachumia tumbo mmoja king wa Insta anatangaza radio moja inayoongea ongea sana mwingine king wa Facebook aliepata deal kuchambua kiswazi huko, ambao huwa wanaona...
Leo ni siku nyingine tena kwa Simba SC kujikusanyia alama tatu muhimu na kuendelea kujikita juu kabisa kileleni.Simba ikiwa ni timu pekee ambayo haijafungwa mechi hata moja itacheza na Mbao FC ya...
Kipigo ambacho Arsenal ilikipata jana jumamosi ya Februari, 5 kutoka kwa Chelsea cha 3-1 ni kimemweka kocha wa Arsenal, Arsene Wenger katika kipindi kigumu kufuatia mashabiki wa timu hiyo...
karibuni mwenye update arushe
Simba imeshinda mechi hiyo kwa magoli matatu kwa bila
===========
Full Time : Majimaji 0 - Simba 3
88' Laudit Mavugo anafunga goli la 3
63' Said Ndemla...
Uzi unajieleza.
Kama kuna mtu amempiga misumari kijana wetu mahiri Shiza Kichuya na Muvugo, basi inatosha jamani, mashabiki tunaumia sana. Tunakwenda kwenye mabanda ya kutizama mpira tukiwa...
Timu mbovu ya Arsenal leo imeondolewa rasmi kwenye mbio za ubingwa baada ya kuchapwa na Manchester city mabao 2-1 ugenini .
Huu ni uthibitsho mwingine kwamba ngoma ya watoto haikeshi .
Ni mambo...
Na
*YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU*
Yangawhatsappmakaomakuu@gmail.com
Achana na historia yetu ya nyuma tunaamini Yanga ina kila sababu ya kushinda ubingwa wa VPL...
HATIMAYE timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania, Serengeti Boys imerejeshwa kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania...
Chelsea ~ Arsenal
MATCH FACTS
Head-to-head
[emoji117]Chelsea's 3-0 defeat at Arsenal in September was their first loss in 10 Premier League meetings (W6, D3).
[emoji117]The Gunners have lost...
Hatimaye siri ya nini hasa kilisababisha Ronaldinho Gaucho abwage manyanga Barcelona imefichuka. Kwa muda mrefu, manazi wa kiungo mshereheshaji huyo, kama Gang Chomba, wamekuwa wakidai kwamba Pep...
the best exercise to lose belly fat is crunches "by my experience"
Lie flat on your back with your feet flat on the ground, or resting on a bench with your knees bent at a 90 degree angle. If...
Hazard ameweka wazi utofauti mkubwa wa namna ya ufundishaji wa soka kati ya makocha hawa wawili.
Mafunzo ya kocha mpya Conte yanaeleweka zaidi kuliko ya kocha wake aliyetangulia Mourinho...
ADEBAYOR SALUTING TOTTENHAM FANS AFTER SCORING IN A PAST LEAGUE MATCH
Young Africans are set to make a mega signing to strengthen their squad for the champions league
Former Monaco,Arsenal ,Real...
Salaam Wakuu,
Hawa Jamaa zetu kipi kimewatokea? au hawajazoea kukaa kileleni? ni nini hasa kinachowakabili? au ndio mishahara ya Mwezi wa 12 haijaingia mpaka saa hizi?...
Wenye timu yenu mje...
David Buruhan kipa wa Kagera Sugar na mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa timu ya PAN, Abdallah Buruhan amefariki leo Hospitali ya Bugando.
Aliugua ghafla wakielekea Singida kwenye mechi ya Kombe...