Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu Leo kama mnavyofahamu Mnyama wa Msitu Mnene Simba SC anaenda kukipiga na Wana Rambaramba katika mechi yake ya 20 ya Ligi Kuu ya Vodacom. Mchezo utachezwa uwanja wa Taifa. Mechi ni saa 10...
4 Reactions
242 Replies
31K Views
Kwa wale wanaofatilia vizuri AFCON mechi ya robo fainali ya tarehe 29 january 2017 ile ya awali kati ya Ghana na Congo refa B. Camille wa huu mchezo amewapa penati "NYEPESI" Ghana na kufanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wameanza rasmi kuitafuta namba 3 yao. All the best ninyi! Na nyie mliozoea namba moja naona mmeshaishika, kama kawaida yenu mtuambie kabisaa mkishinda mechi ngapi vile inakuwa ndio basi tena...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za muda huu ni kuwa uwanja unaotumiwa na timu ya Manchester united unaungua moto. Moto huo umeanzia katika majukwaa ya Sir Bobby Charton na fire fighters wako tayari katika eneo la tukio...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapenzi Wa simba ni vizuri mkawa na kumbukumbu kuwa juzi mlifungwa na azam goli 1. Itoshe tu kusema bao 1 la nguruwe linatoa watoto 12.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Binafsi nashindwa kuwaelewa Azam hasa katika akaunti yao ya Instagram. Huwa wanaandika mechi inachezwa saa 10:30 wakati kiuhalisia inaanza saa 10:00 na pia wakati mwingine kuhusu Uwanja mechi...
0 Reactions
2 Replies
906 Views
kazi inaanza kesho kisigino kinarudi kwake hata cku moja kisigino hakikai mbelembona mnakwenda mtoni kuzama kabisa duh
3 Reactions
5 Replies
8K Views
Kwa siku kadhaa nimekuwa bize kiasi cha kuishia kusikiliza mechi mpila kwenye radio Kiukweli nimekuwa nikiinjoi kwa kiasi kusikiliza mpila ukitangazwa na BBC SWAHILI, Shida ni pale ninaposikiliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CLOUDS FM RUFAA YA POLISI DHIDI YA SIMBA SC SURA YA KUMINAMOJA (UTHIBITI WA WACHEZAJI)) KOMBE LA SHIRIKISHO AZAM SHERIA INASEMA KANUNI ZITATUMIKA KAMA ZA LIGI KUU MCHEZAJI ATAKAEPATA KADI MBILI...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Michael Jordan Pays Tribute To Serena Williams After Her Historic Victory Serena Williams took home a historic 23rd Grand Slam title tonight in Melbourne, and one of sports' biggest legends had a...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limetupilia mbali rufani ya klabu ya Polisi Dar dhidi ya klabu ya simba ktk kombe la FA kwa madai kwamba haikuambatana na ada ya rufaa. Polisi ilikata rufaa kwa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
ulikuwa mchezo wa FA kati ya simba na coast union Katika dakika ya 84 Shiboli akiwa anaenda kumsalimu kipa wa Simba SC beki wa Simba SC Novati Lufunga alimfanyia madhambi na mwamuzi wa mchezo huo...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Mi ni msanii chipukizi naimba hip hop, Rap Na pia ni mwandishi mzuri wa mashairi, ya RNB. Kama utaitaji kunimanage ili tufanye kazi tuwasiliane Email:Silverjoseph3@gmail.com...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Takwimu kuna waamuzi & ambao walichezesha Mechi ambazo Yanga walicheza na Timu kadhaa na Matokeo yalikuwa ni yenye Utata. kwa wanaofaham mpira. hakuna usajili mtu anaoweza ufanya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Taarifa kwa Umma Kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo:Uwanja wa Taifa Ruksa kutumiwa na Simba na Yanga.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtandao wa National News wa Kenya umeandika kuwa Yanga ipo kwenye mchakato wa kumsajili mchezaji wa Togo aliyekuwa anachezea Arsenal Emmanuel Adebayor Eti inasemekana kuna mazungumzo yanaendelea...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Binafsi sina budi kusema ligi ya Uingereza ndio kipimo sahihi cha wachezaji na Makocha duniani ni kama vile mitihani ya Darasa la 4 au form 2 ukiweza kufaulu basi umeingia darasa lingine ukifeli...
7 Reactions
190 Replies
14K Views
*C.Ronaldo in 2016* [emoji471] UEFA UCL [emoji471] UEFA Golden boot [emoji471] UEFA Euro Cup [emoji471] EURO Cup Silver boot [emoji471] WORLD SOCCER best player [emoji471] GOAL world best player...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17, Seerengeti Boys sasa njia yao ni nyeupe kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana (U-17) baada ya mchezaji wa timu ya Congo, Langa Bercy...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
kunapengoo lolotee aliloliachaa huyu mwambaa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…