Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.
Joshua Mutale...
Kama utakuwa shabiki kweli wa mpira na mfatiliaji wa soka la Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kwamba kwa simba ya msimu jana ambayo iliisumbua yanga mechi ya round ya pili ya ligi na...
Huwa nakaa najiuliza hivi unapataje muda wa kushabikia mpira halafu unakua lofa na masikini, aisee nyie mashabiki wa mpira Tanzania tafuteni hela mnanuka njaa sana na mnaleta usumbufu kwa matajiri...
Hapo awali nilileta uzi humu kuwa Yanga wanashindwa kufanya vizuri kwasababu wanakosa vinasaba vya michuano ya kimataifa. Nilipondwa sana na wana Yanga wenzangu lakini mpaka sasa akili zinawakaa...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amefunga mashindano ya mpira wa miguu ya KNK CUP 2024 yaliyotanguliwa na Bonanza la michezo mbalimbali ambapo amempongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
Nimemsikia GB64 akitangaza mitandaoni kuwa wachezaji Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu, ina maana Patrick Simon hazioni clips hizi?
Kama sio kweli anachosema GB64 kuhusu Yanga kwanini...
Kucheza ugenini uwanja ukiwa full house kama ilivyokuwa juzi kule Tripoli, Libya, kwanza ni exposure kubwa kwa wachezaji wa Simba ambao hawana experience ya kutosha kwenye mechi za kimataifa, hasa...
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya kusajiliwa akiwa mchezaji huru katika timu ya AEK Athens inayoshiriki Ligi Kuu ya Ugiriki...
Huu ni mfumo mpya au format mpya ambao UEFA wameleta ili team ziweze kutana mapema zile nzuri kuongeza idadi ya match na team shiriki zikiongezeka team 4 zaidi toka team 32 mpaka 36.
Uefa kupitia...
Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani..
Akiwa na mpira...
Ukiingia Wikipedia ya English version unaambiwa born January 1984..
Ukiingia Wikipedia Swahili version unaambiwa may 1987..
Sasa sijui tufuate lipi.... anyway hivi huyu jamaa Kwa sasa anakipiga wapi
Kumbe kombe la looser sio rahisi kama walivyokuwa wanafikiria wale wafuasi wa mangungu!
Wametolewa ulimi na Aly ahli tripoli timu ambayo ilichezea kichapo toka kwa biashara ya Mara mwaka juzi...
Habari wadau.
Nimekuwa nikifuatilia mada za Wanayanga tangu game ya simba huko Libya. Wamekuwa wakija na hoja vunjifu hoja katishi mmoja kasema kuhusu simba hajapiga shuti la kulenga goli mara...
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake.
Al Ahly ni team nzuri sana si...
β....... ππΌπππΌ ππ ππππ πππππ
Nimetambua kuwa yanga kwa sasa ni next level kwanini?..
Baada ya weekend hii Simba na yanga kucheza michezo yao ya CAF binafsi nimetambua kuwa yanga ndio nembo ya...
Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana.
Naona...
Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa.
Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL...
Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama
Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji...
Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa...